Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoa maku ligi yao 1 na south sudan na somalia,njaa moto
Halafu unamletea takwimu za umoja wa taifa yeye anakuletea sijui takwimu za wapi.
Umoja wa Mataifa unasema kabisa Kenya ni miongoni mwa mataifa yanayohitaji msaada wa nje wa chakula,na hiyo ni ripoti ya mwaka 2024 mwaka huu july mwezi uliopita tu hapo.
Jinga sana hili jamaa.
Ukiachana na hilo Kenya ni miongoni mwa mataifa 28+ ya Afrika yaliyo katika orodha ya kupokea msaada wa chakula kutoka World Food Program(WFP).
Tena vyakula vingine vinachukuliwa au kununuliwa hapa hapa Tanzania na WFP.
Halafu jinga linashupalia shingo.
 
Teargas ukiona wakihate wahurumie, ndio hawa picha zao hizi. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3070831View attachment 3070832View attachment 3070833
screenshot_20240220-111607_1-jpg.2909845
Ni kijana mwenye muonekano mzurina afya njema.Ni ngumu kumuona Mkenya hata wa kike mwenye muonekano huu.
 
Kwanza kucha zenyewe zinakaa zimekatwa kutumia meno😂😂🤣😁👇👇👇

View attachment 3071088
Leo umekuja na sales representative?😂😂🤣🤣. Leo tena mimi sio chemist dispenser?😂😂🤣🤣. Kesho ntakuwa nini? Hawker ama?😂😂🤣
Pharma sales representative. what best can a pharmacy technician do ? Sales of generic products from India.
 
Pharma sales representative. what best can a pharmacy technician do ? Sales of generic products from India.
Who told you I’m a pharma technician? 😂😂. Kwa akili zako Mtu wa sales hukuwa kwa analysis lab?😂😂🤣
 
Back
Top Bottom