President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,766
- 89,791
Hicho ni kiswahili kijana wangu. Wasiwasi wako ni upi sasa?Ama kweli 😂😂😂
Hicho ni kiswahili kijana wangu. Wasiwasi wako ni upi sasa?Ama kweli 😂😂😂
Nitolee upumbavu wako, mana naona umemjibu mala.ya Rhaenyra Targaryen kwamba mm ni msomi ambaye sijapita konakona na wala sijatoka form four kwenda chuo kama nyie, ngoja nifanye mambo ya msingi ila samahani kama nimekuudhi leo🤣🤣🤣🤣🤣Ebu tujibu. Huwa unachima kisima?😂😂🤣🤣😂. Na these fingers ni za 50yrs kama sijakosea😂😂🤣
View attachment 3070986
Nishamalizana na wewe.
Wewe sio msomi. Sasa Primary School Certicate ndio unapiga nayo kelele? Weka grades kila mtu aone how terribly to you failed 😂😂🤣🤣Nitolee upumbavu wako, mana naona umemjibu mala.ya Rhaenyra Targaryen kwamba mm ni msomi ambaye sijapita konakona na wala sijatoka form four kwenda chuo kama nyie, ngoja nifanye mambo ya msingi ila samahani kama nimekuudhi leo🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee wa mindonga, kuna kipindi juzi juzi tu hapa alikuwa field ya kutumbua mishipa alivaa buti hilooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kujeni muone watu wanavyojifariji huku 🤣🤣🤣🤣 Desperation and denial is a lethal combination.Olympics ndiyo nn? Kwanza sijui hata ratiba yake, incase you don't know, watanzania wengi hawana habari yoyote kuhusu olympic na hawafuatilii, yn uniweke kwenye TV niangalie mita 500000000000, hell no.
Ebu tuonyeshe hiyo message before ifunguliwe I want to show you something. You can’t be downloading messages online ndio ukuje kutudanganya nayo😂😂🤣😂😂🤣Teargas nataka ujue kidogo life status za watu (Miss faivu sitaa oteli). This is another New Royal Restaurant inazinduliwa kesho.
Important people tumealikwa. This sms from my phone.
View attachment 3070989
View attachment 3070991
Wewe watchman Kwani unaniogopa?😂😂🤣🤣 Unaogopa mdogo wako?😂😂🤣Mzee wa mindonga, kuna kipindi juzi juzi tu hapa alikuwa field ya kutumbua mishipa alivaa buti hilooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Buti lina mashavu aloooo 🤣 🤣 👇 👇 View attachment 3070996
View attachment 3070997
Leo kapiga buti la SGR kabisaa 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee nakuonesha unachotakiwa kuona. SIyo kila kitu changu private ukione. Wewe endelea na mabo ya faivu sitaa oteliEbu tuonyeshe hiyo message before ifunguliwe I want to show you something. You can’t be downloading messages online ndio ukuje kutudanganya nayo😂😂🤣😂😂🤣
Hiyo message umedownload mahali fala hii😂😂🤣🤣Mzee nakuonesha unachotakiwa kuona. SIyo kila kitu changu private ukione. Wewe endelea na mabo ya faivu sitaa oteli
Another downloaded message 😂😂🤣🤣Unadhani mimi nina njaa kama wewe siyo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Also kumbuka mimi ni mtaalam wa ICT
View attachment 3071008
🤣 🤣 🤣 🤣 Download na wewe utuoneshe hapa inayofanana na hiyoAnother downloaded message 😂😂🤣🤣
Kama myu ndio unaweza download picha yake na utudanganye ni yako, nini itakuzuia kutudanganya na SMSs?😂😂🤣🤣 🤣 🤣 🤣 Download na wewe utuoneshe hapa inayofanana na hiyo
Umekosa point kijana wangu. Maisha yako ni ya chini mno. Nimekuonesha simple things umeanza kuhaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Nikikuonesha vitu vikubwa si utakimbia humuKama myu ndio unaweza download picha yake na utudanganye ni yako, nini itakuzuia kutudanganya na SMSs?😂😂🤣
Tanzania ni umaskini tupu. Hadi fare za 50 bob wanashindwa kulipa😂😂🤣
View: https://x.com/eastafricatv/status/1824068062888198282
Wewe watchman usijaribu kuongea penye wenye pesa wanaongea. Yani wewe usiku ni watchman lakini ikifika mchana unachimba kisima🤣🤣😂😂Yani wewe mwenye buti la SGR unaingia vi bar vya 200 sh ndio uite watu wenye train ya umeme maskini, haki ya mama wewe sio mzima 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3071014