The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Karibu sn mkuu.Typing error,hao mazwazwa hawajui JNIA ulinzi upo chini ya polisi tu au itakua wanajiliwaza tu,okt natua hapo na ile ndonga ya saa 4 usiku inayotokea KIA
Karibu sn mkuu.Typing error,hao mazwazwa hawajui JNIA ulinzi upo chini ya polisi tu au itakua wanajiliwaza tu,okt natua hapo na ile ndonga ya saa 4 usiku inayotokea KIA
Hiii ndio conventional center 😂😂😂😂Kisumu Conventional Center U/C... View attachment 3070487View attachment 3070486
Ubishani wa kifala huwa sipendi.
Mimi nakuletea ripoti kutoka United nations wewe unaleta takwimu hata hazijulikani.
Utamiliki land kwa ajili ya biashara au uwekezaji tu pia itakuwa chini ya TIC na sio kama mtanzania ambaye anamiliki ardhi kwa ajili ya kujenga nyumba ya kukaa au anaweza akamiliki na akakaa nayo tu, kama umepigwa pesa pole sana.Waambie hawa maboya wako wanasema eti Mkenya hawezi miliki ardhi Tanzania.
Tunaelekea kwenye zero hunger. Wakenya zaidi ya 14M wanakufa na njaa
Thanks for 20017 data. This 2023 data released in April 2024 and Tanzania is more hungry than Kenya😂😂🤣👇👇Ubishani wa kifala huwa sipendi.View attachment 3070512View attachment 3070513
Huo ndiyo ukweli.Sawa. 🤣 🤣 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 Hizo data hata mimi naweza edit. Nikiwa na account tu naweza create dataset yanguThanks for 20017 data. This 2023 data released in April 2024 and Tanzania is more hungry than Kenya😂😂🤣👇👇
View attachment 3070523
Kwani kuna mwenye amekuzuia kutengeneza? Tengeneza uweke Tanzania number one basi😂😂🤣🤣 🤣 🤣 🤣 Hizo data hata mimi naweza edit. Nikiwa na account tu naweza create dataset yangu
Uhalisia huu hapa
View attachment 3070526
Wewe watchman umeosha sare zako za kazi?Huo ndiyo ukweli.
Tafuta saizi yako.Wewe watchman umeosha sare zako za kazi?
Obviously huwezikuwa size yangu with all that poverty running in your blood😂😂🤣.Tafuta saizi yako.
Na usisahua kucharge torch pia malaya hii😂😂Tafuta saizi yako.
Mbona unanikot mara mbili mbili we fala, nmekuambia mm sio rika lako nilianza kupata kazi serikalini kitambo, kipindi kile una download mipesa Google ili uje ushindane na mm mwenzako tayari nilikuwa na nyumba kubwa na niliipost humu, sasa wewe mshika vidonda unaringisha simu, inaonesha umetokea familia ya chini sanaa.Na usisahua kucharge torch pia malaya hii😂😂
Kukot ndio mnyama gani?Mbona unanikot mara mbili mbili we fala, nmekuambia mm sio rika lako nilianza kupata kazi serikalini kitambo, kipindi kile una download mipesa Google ili uje ushindane na mm mwenzako tayari nilikuwa na nyumba kubwa na niliipost humu, sasa wewe mshika vidonda unaringisha simu, inaonesha umetokea familia ya chini sanaa.
Kafie mbele mnuka makwapa..Kukot ndio mnyama gani?