Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu Conventional Center U/C...
IMG_20240814_205133.jpg
IMG_20240814_205128.jpg
 
Asante for comparing yourself with a second year me. Huyo ndio level yako bwana watchman😂😂🤣🤣.

Now tell us kazi unafanya airport kama sio ya uwatchman😂😂🤣
Hebu nenda bhn we tafuta saizi yako mm nmekutesa miaka mingi iliyopita, sio rika lako mm.
 
Wewe mshamba juzi tu hapa nilikuwa nakutesa mpaka unaenda ku download mipesa Google, ulivyo mshamba umenunua simu baada kupata ka mshahara umeanza kupost humu, kipindi kile kisimu chako cha Tecno ulikuwa huwezi hata kubishana kuhusu simu, mshamba sana we jamaa 👇👇View attachment 3070484
Wewe watchman unitese na nini? Hivi ulifungua bank account ama bado unapanga foleni hili ulipwe mshahara kisha unaficha pesa chini ya kitanda?😂😂

Wewe hata ufanye nini huezinishinda in anything. Anyway kwa mambo ya simu I think wewe mwenyewe ulijionea bei ya simu yangu. That price can feed you for 3 yrears cause budget yako ni ndogo sana😂😂
 
Hebu nenda bhn we tafuta saizi yako mm nmekutesa miaka mingi iliyopita, sio rika lako mm.
Obviously huwezikuwa rika yangu cause one; you are older than me, two you are watchman and I’m not and three I’m monied than you😂😂🤣
 
Si this year tu mlipewa msaada wa chakula na USA😂😂
Ule msaada wa chakula uliusoma unahusu nini!?
Usipindishe mada kama kawaida yako,ule mchele ulitolewa kwa wanafunzi wa shule ya Dodoma tu sio kwa Tanzania nzima.
Pia Hussein Bashe ameukataa ule msaada na nadhani uliona yeye akikana huo msaada.
Aya tuambie ninyi Kenya vipi mpaka mmewekwa katika list ya kupokea msaada wa chakula na WFP!?
Si unajua nchi ikipokea msaada wa WFP inaashiria nini!?
 
Stop making noise😂😂🤣🤣

IMG_0478.png
 
Back
Top Bottom