Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ni ulimbukeni, leta thamani yake huyo mchezaji kabla na baada ya usajili??
Sasa mzee. Tumia internet kwa faida

Screenshot_20240811-203646.png
 
Kitu walichobaki nacho kenya ni mbio tu.
Hawa jamaa wanapenda kuishi kihistoria.
Wamuulize CR belouzdad kilichomkuta.
Au wamuulize El Mereikh si alitamba vivyo hivyo msimu uliopita!?
Au wamuulize TP Mazembe timu ambayo ina historia ya kucheza hadi Fifa club world cup msimu wa juzi Caf confederation alikula tatu kwa Mkapa na moja kwake Congo.
TP Mazembe ambayo kabla hatujawafunga mwaka juzi haikuwahi kufungwa na timu ya Tanzania hata mara moja.
Wakaja na HISTORIA zao lamamaye kilichowakuta Jesus hapendi😂😂😂😂😂😂.
Sasa tunamsubiri huyo Gormahia akijichanganya one time moko
 
Back
Top Bottom