Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ule ushuzi wa simba na Yanga ni ulimbukeni unaoishia ndani ya vumbistan 😂😂😂😂
 
Ule ushuzi wa simba na Yanga ni ulimbukeni unaoishia ndani ya vumbistan 😂😂😂😂
Na kuingiza team mbili robo final CAF champion league inaishia Tanzania au sio 🤣

So far Tanzania imetoa team 4 kushiriki CAF champion na confederation hii huna habari🤣🤣
 
Ule ushuzi wa simba na Yanga ni ulimbukeni unaoishia ndani ya vumbistan 😂😂😂😂
Kuna siku niliuliza watanzania to name the sport in which they good at nikaambiwa ati kujaza stadium siku ya Yanga and Simba day😂😂
 
Na kuingiza team mbili robo final CAF champion league inaishia Tanzania au sio 🤣

So far Tanzania imetoa team 4 kushiriki CAF champion na confederation hii huna habari🤣🤣
Na kuwin trophy ni Gor Mahia ah sio?😂😂🤣
 
Na kuwin trophy ni Gor Mahia ah sio?😂😂🤣
Gor mahia ambayo imeshajifia, last season Simba na yanga wamepokea over 2m USD from CAF kufika quarter final na ni nchi ya nne Africa kupeleka team mbili robo final 🤣🤣

Na mwaka huu Tanzania imepeleka team nne CAF 😂😂😂 najua Inauma Sana ila vumilia
 
The whole world knows that every Kenyan lives in Utopia 🤣 🤣 🤣 🤣
just incase you missed the memo, you and the whole world is entitled to self delusion. its a simple concept but sometimes hard to accept but i am here to help in that endevour
 
Kuna siku niliuliza watanzania to name the sport in which they good at nikaambiwa ati kujaza stadium siku ya Yanga and Simba day😂😂
Mimi huwa nawaangalia naona wanaleta Ukatuni kwenye mpira. Sijawai skia Chelsea ama Manchester day eti timu moja inapewa viti vyote Wembley Stadium. Alafu wanaleta mafala kuimba ngoma yani upuzi kishenzi 🤮
 
Inawauma Sana Simba day na yanga day na sio ww kuna wakenya kibao Huko twitter Wanaumia Sana kuona mambo kama haya yanafanyika Tanzania 😂😂😂😂

Mpira SASA ni biashara mzee Baba, sio siasa au maonyeaho, football SASA hvi ni business ndio maana unaskia yanga budget kwa mwaka ni over 12m USD, Simba ni over 11m USD hio budget ya team kwa mwaka 😂😂😂
 
Mimi sijadili na mpumbavu, je zile basi ni za china???
Kataa engine sio howo, kataa diff sio howo, kataa gearbox sio howo, kataa chassis sio howo niskie hapa 😂😂😂😂

Sema tena howo ni ya Kenya kondoo nyinyi munataka sifa mpaka kwa vitu vya watu

Eti Kenya kuna assembly ya chassis kwa vile munaona watu wote humu ni wehu Tu😅😅
 
African Countries Medals 🏅 Standing at the Paris Olympics currently

1. 🇰🇪 Kenya - 10 (4🏅, 2🥈, 4🥉) (16th globally)

2. 🇩🇿 Algeria - 2 (2🏅, 0🥈, 1🥉) (35th globally)

3. 🇿🇦 South Africa- 5 (1🏅, 2🥈, 2🥉)

4. 🇪🇹 Ethiopia- 3 (1🏅, 2🥈, 0🥉)

5. 🇹🇳 Tunisia- 3 (1🏅, 1🥈, 1🥉)

6. 🇺🇬 Uganda- 2 (1🏅, 1🥈, 0🥉)

7. 🇲🇦 Morocco - 2 (1🏅, 0🥈, 1🥉)

8. 🇧🇼 Botswana- 1 (1🏅, 0🥈, 0🥉)

9. 🇨🇻 Cape Verde - 1 (0🏅, 0🥈, 1🥉)

9. 🇪🇬 Egypt - 1 (0🏅, 0🥈, 1🥉)

9. 🇿🇲 Zambia - 1 (0🏅, 0🥈, 1🥉)

▪️Kenya 🇰🇪 has jumped to 16th in the medal listing globally
One more gold to go tomorrow morning.. women’s marathon
 
just incase you missed the memo, you and the whole world is entitled to self delusion. its a simple concept but sometimes hard to accept but i am here to help in that endevour
This your comment proves that you live in Utopia. Everyone knows that poor quality food kills mental abilities. Kenyans eat poor food 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom