Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of course sio level yako, simu yako ni KES 23K, yake ni KES 74k kwa sasa (bei ya awali ni 127k). mtakuwaje level moja? Yani mtu awe na stress kisa ana simu ghali kukushinda? 🤣 🤣

screenshot-2024-08-08-110612-png.3064409
screenshot-2024-08-08-110643-png.3064411
Again simu yake ni refurbished 😂😂🤣
 
Yeye ni wale majamaa wa luthuli ukipita wanakuvuta uingie ndani ujionee. Halafu kiduka chenyewe ni ovyo ukiangalia jinsi anavyofunganisha simu refurbished. Yani anapofanya kazi panakaa hivi. 🤣 🤣 🤣

1680938959090
Kwanza wale wakora. 😂😂🤣
 
Back
Top Bottom