Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,062
- 35,264
Next hapo utasikia mkunya ndio katengeneza brt yetu au mkunya ndio kafund huo mradi πAgain wanapenda kujulinganisha na kujifananisha nasi! BRT Phase IV loadingβ¦
View: https://youtu.be/y5KEnJ4TGTE?si=uIiRwrAHqdLxV1Yr
Kwahivyo hamutumii made in Kenya buses???Next hapo utasikia mkunya ndio katengeneza brt yetu au mkunya ndio kafund huo mradi π
Niliona kuna mpumbavu Teargas ati anadai wali-fund SGR Dar-Moro! Mbona wasi-fund SGR Naivasha-Malaba kule kwao?Next hapo utasikia mkunya ndio katengeneza brt yetu au mkunya ndio kafund huo mradi π
πππ kwamba mimi sina shighuli za kufanya ni kupigizana kelele na wewe tu.? Eti.? πππ. Kwamba mimi nitafute simu za kukuonuesha wewe. Pixel pro yako moja ππππ refurb.? Simu used.? Less than 600k Tz money ππππ.After nimepost alipotea the whole of yesterday ndio amerudi sahii. Bado anatafuta mtu mwenye simu kali kama hiyo apige screenshot apost. Usitegemee apost sahii. Ametafuta akakosa. ππ
Na nina uhakika hata haijui hiyo Google Pixel Pro. Maanake mtu anayejua masimu anajua hiyo ni miongoni mwa simu za maana ulimwenguni.
πππ mimi kuhusu kujua simu wala sio size yako Nina Access pana mno ππΎUkimwambia apost simu yake hukujua una shughuli? Ulidhani ana infinix kama wewe sasa amekupostia simu yake unajificha kwa shughuli. Shughuli gani na unalishwa na girlfriend?ππ
Umekimbia kwa rafiki yako muuza simu kariakoo ukamwambia akutumie list ya bei za simu?πππ mimi kuhusu kujua simu wala sio size yako Nina Access pana mno ππΎView attachment 3064384I can clearly see the phone that Iβm using from this screenshot.. and check the price list, nakua updated kila siku. ππππ the used Phones that you are proud of ..
So vile A380 ilitua JNIA ilitumia air bridges ama ama watu walishukishwa kama kondoo kule nyuma?ππAirlines huwa wanaangalia hizo facilities pia acha ufala.
Mziki wa A380 sio mchezo jinsi JKIA ilivyokuwa congested ka terminal ka juakali A380 ikishusha mzigo mtatafutana kule ndani itakuwa chaos tupu.
Tangu lini Supa loaf ikawa coffee shop? Unajielewa kweli?Ipo Tanzania kabla haijafika Kunyaland
Najua viwanda vyao zaidi ya vitano Tanzania
View attachment 3064248
Watchman Huyo. Kuna siku nilimchocha akajianika na sare zake za kazi, baadaye akazifuta vile aliona tunamcheka. Heri huyu fukara Sama boy 255, yeye huwa hadelete pictures hata akitukanwa ajeπππ€£. Huyo watchman The best 007 ni muoga ππWatchman.πππ
Anafaa aende labor court juu hakuna vile wanampea mulika mwizi kufanya kazi. Na battery ikianguka usiku akifukuzwa na mwizi atajisaidiaje?πππ€£Kwani Best 007 anatumia Mulika mwiziβ¦ππππππππππππ€£
Hawa ni nani?Supa loaf ni franchise ilionzishwa kenya mnamo 1970 mahali kunaitwa port reiz, Mombasa. Tunawalisha π ππ
Ni savings za dem hizo ndio umeomba. Mbona ungoje hadi usiku akisharudi home ndio upmost?πππ€£.ππππ na sio kama nalishwa na dem.? Ni pesa za dem.?πππ
KGTEL R10 ya 5kππWewe unatumia gani? Mbona hujajibu swali?ππ
Si aende kwa duka la simu ajidanganye ati anakata kununua simu Alafu aipige picha, cause thatβs what he does bestπππ€£After nimepost alipotea the whole of yesterday ndio amerudi sahii. Bado anatafuta mtu mwenye simu kali kama hiyo apige screenshot apost. Usitegemee apost sahii. Ametafuta akakosa. ππ
Na nina uhakika hata haijui hiyo Google Pixel Pro. Maanake mtu anayejua masimu anajua hiyo ni miongoni mwa simu za maana ulimwenguni.
Ipo shida kwenye vipande vya Yarp, angalia hata kwenye ufunguzi hawakupewa hata nafasi ya kuongea presence yao ilipuuzwa hata balozi wao hakupewa engagement yoyote, tukubali Yarp ya lot 1 na 2 ndio ilikua inajielewa, hii ya saivi ni takataka kabisa, nilipata juzi kati Tabora na Shinyanga kazi inaendelea, walipunguza running costs za company wakaondoa wale waliokua wakitupa updates za dronesTatizo tunakumbatia wazee wenye akili za kijamaa bado. Wazee huwa wako conservative...sisi tunafanya hiv..ndo wamejaa hadi CCM huko
Bado wazee wengi Tanzania hawajaingia free economy bado. Dunia ya sasa hakuna kuhurumiana wala kuchekana. Tanzania ni nchi kubwa sana. Mabus yanaweza anzia Dodoma wakitaka. Wanaweza omba hata wapark pale mbele Dodoma stesheni kwa muda kuchukua abiria wa mikoa mbalimbali.
Kimsingi ili Tanzania tuendelee tunaitaji mtu mchangamfu anayejua Dunia ya sasa ikoje sio wanaokumbatia sera za mwalimu.
Hii SGR ya Dodoma to Isaka mbona wako kimya sana... hakuna kinachoendelea?
Mama mwenyew aongelei hii? Nilitegemea akitoka pale Dodoma kwenye ufunguzi aende akague SGR ya kuelekea Isaka na atoe maelekezo... maana mkataba waliosaini unakaribia kuisha sasa.
Imetua JNIA because of emergency. Hata Entebe pia walishapokea A380 because of emergency. Ama ulitaka ndege itoke Comoros ikuje JKIA awhile there was JNIA karibu nayo. Wewe watchman achana na mambo ya ndege juu huelewiππJifariji unavyoweza lkn a380 haitotua JKIA na haijawahi, itaendelea kutua JNIA, pole kwa maumivu.