Mi mwenyewe nilimkatia mtu ticket kutoka Dom kuja Dar economy siku 4 kabla treni imejaa na fare ilikuja 40k I thought ingekuwa 31kKwanini TRC wasiongeze idadi ya trains kama abiria ni wengi kiasi hiki?
Hii ni ya kesho na imeshajaa
View attachment 3064253
Siku hiz kuna express labda ndo maana ni 40kMi mwenyewe nilimkatia mtu ticket kutoka Dom kuja Dar economy siku 4 kabla treni imejaa na fare ilikuja 40k I thought ingekuwa 31k
Walitakiwa waweke afternoon service moja pia.Labda wanataka watu wengine wapande mabasi...maana wanawahurumia sana hao watu walioshindwa kuwa wabunifu..
Mtu ni kiongozi wa TRC unaanza kuongelea adhari yako kwa mabasi..sio kuhudumia watz wengi kwa wakati...
Hiv ujenzi kuelekea ISAKA unaendelea au ndo umekwama kabisa...maana serikali wote wapo kimya kazi kusifia yaliyokwishafanyika
Oh ok sawa nimekupata.Siku hiz kuna express labda ndo maana ni 40k
Pasengers wanepata heat exhaustion na hata video entertainment hakuna lazima ulale🤣🤣🤣Mkokoteni wao wanaouita SGR 😅😅😅
View: https://x.com/CoolBusesEA/status/1821238425632018923?t=gRAUPOCr5ENG1_JAP47yYw&s=19
Ni vitu vya kipumbavu kweli utafikiri walivyokua wanajenga hawakujua nini matokeo, kitu ninachoishangaa serikali ya Tanzania mara nyingi ni hii tabia ya kutaka kumridhisha kila mtu, tumelemaa kwenye kuleana na kuhurumiana hata pale ambapo tunapaswa kusema hii ni nyeusi hii ni nyeupe hata kama ni mbaya lakini inapaswa kuwa hiviLabda wanataka watu wengine wapande mabasi...maana wanawahurumia sana hao watu walioshindwa kuwa wabunifu..
Mtu ni kiongozi wa TRC unaanza kuongelea adhari yako kwa mabasi..sio kuhudumia watz wengi kwa wakati...
Hiv ujenzi kuelekea ISAKA unaendelea au ndo umekwama kabisa...maana serikali wote wapo kimya kazi kusifia yaliyokwishafanyika
Na behewa kibao zipo tu zimepack pugu, huyu kadogosa anatakiwa afukuzwe last yearMi mwenyewe nilimkatia mtu ticket kutoka Dom kuja Dar economy siku 4 kabla treni imejaa na fare ilikuja 40k I thought ingekuwa 31k
Watu wanapitisha mzigo Kenya sababu ya kukwepa kodi mzigo ukiingia bandari zetu hautoki mpaka appropriate taxes wanazotaka wao zilipwe na ukichelewa unapigwa storage mpaka unakimbia mzigo. Mostly magari wanapitishia Kenya mazingira ya kodi pale mpakani yanakuwa rahisi kwa mwenye mzigo.
😅😅😅 Hayo mabenchi ni magumu kama jabali, yanawaotesha sugu mpaka wameamua bora wakae chini tu 😂😂😂Pasengers wanepata heat exhaustion na hata video entertainment hakuna lazima ulale🤣🤣🤣
Ipo Tanzania kabla haijafika Kunyaland
Najua viwanda vyao zaidi ya vitano Tanzania
View attachment 3064248
Tatizo tunakumbatia wazee wenye akili za kijamaa bado. Wazee huwa wako conservative...sisi tunafanya hiv..ndo wamejaa hadi CCM hukoNi vitu vya kipumbavu kweli utafikiri walivyokua wanajenga hawakujua nini matokeo, kitu ninachoishangaa serikali ya Tanzania mara nyingi ni hii tabia ya kutaka kumridhisha kila mtu, tumelemaa kwenye kuleana na kuhurumiana hata pale ambapo tunapaswa kusema hii ni nyeusi hii ni nyeupe hata kama ni mbaya lakini inapaswa kuwa hivi
Siasa zinapoingilia professionalism matokeo yake ndio kama haya, kisa kuna wana ccm huko wenye biashara za mabasi ndio maana wanafanya mambo ya hovyo kiasi hiki, technology is brutal sometimes, kipindi dunia inahama kutoka kwenye manpower kwenda industrial revolution hapakuwa na tabia za kijinga kama za hii serikali ya Tanzania lasivyo mpaka saivi tungekuwa stone age, lazima tukubali mabadiliko chanya na side-effects zake, serikali inaacha kufocus kwa majority inaangalia wa bunge wawili au wafanyabishara watano 🚮🚮🚮
Acha kuzunguka mbuyu,sema tuu wazi kwamba kama alivyo sa 💯..Tatizo tunakumbatia wazee wenye akili za kijamaa bado. Wazee huwa wako conservative...sisi tunafanya hiv..ndo wamejaa hadi CCM huko
Bado wazee wengi Tanzania hawajaingia free economy bado. Dunia ya sasa hakuna kuhurumiana wala kuchekana. Tanzania ni nchi kubwa sana. Mabus yanaweza anzia Dodoma wakitaka. Wanaweza omba hata wapark pale mbele Dodoma stesheni kwa muda kuchukua abiria wa mikoa mbalimbali.
Kimsingi ili Tanzania tuendelee tunaitaji mtu mchangamfu anayejua Dunia ya sasa ikoje sio wanaokumbatia sera za mwalimu.
Hii SGR ya Dodoma to Isaka mbona wako kimya sana... hakuna kinachoendelea?
Mama mwenyew aongelei hii? Nilitegemea akitoka pale Dodoma kwenye ufunguzi aende akague SGR ya kuelekea Isaka na atoe maelekezo... maana mkataba waliosaini unakaribia kuisha sasa.
Watchman.😂😂😂Unapiga kelele hapa na wezi wanaiba? Niskie tu kesho umefukuzwa job😂😂
View attachment 3064170View attachment 3064171View attachment 3064172View attachment 3064173
Again wanapenda kujulinganisha na kujifananisha nasi! BRT Phase IV loading…Here we go again
Can I have land pricing ya hapo nilipobold? make sure lipo NBOKwa hivo unadhani Nairobi hamna nyumba za compound ama Nini? Hujui Nairobi utachagua unapotaka kuishi? Halafu pia usidhani apartment za kuuza zinazojengwa Nairobi ni vi-apartment ovyo ukigombana na bibi neighbor anaskia. Hizi ni apartment za maana zenye sound proofing ndio maana ni Bei ghali kuliko kujenga nyumba yako mansion mitaa kama ya Syokimau.
View: https://www.youtube.com/watch?v=T633izGubto&pp=ygUXZ3RjIHJlc2lkZW5jZSBwZW50aG91c2U%3D
Kumbuka pia mitaa yetu ya kujenga nyumba za chini imepangika na ina Barabara za lami, sio kama hapo kwenu watu wanajenga kiholela.
Linganisha Hii mitaa. Hapa ni Kahawa Sukari. Huu ni mtaa nje ya Nairobi ambao unanunua shamba lako unajijengea. Tazama ulivyopangika. 100% Barabara ni lami.
View attachment 3063440
Huu hapa ni Syokimau, pia nje ya Nairobi. Unanunua shamba lako unajijengea nyumba yako jinsi unavyotaka. Tazama ulivyopangika. Hapa barabara 60% ni lami, the other 40% ziko mbioni kupigwa lami.
View attachment 3063441
Haya,linganisha ni hii Mbweni yenu ambayo kila siku mnajichocha nayo humu. Tazama ilivyo disorganized. Ukitoa Main road, hamna barabara nyingine yoyote yenye lami.
View attachment 3063442
Mwengine hapa Mbezi. Huu mtaa nimeuskia sana hata kabla nikanyage Dar niliskia Wabongo wengi sana wakiongelea jinsi ulivyo mtaa wa kitajiri. Sasa naulinganisha ni mitaa ya Nairobi ya kawaida kama Syokimau hata haufikii kwa kupangika wala infrastructure.
View attachment 3063443
Ndio maana mimi hucheka sana nikiwaskia mkiongea eti ooh Dar tunajijengea nyinyi mnaishi kwa apartments. Hapa Nairobi kila kitu kipo. Ukitaka kununua shamba ujenge mansion utapata, ukitaka kununua mansion kwenye gated community utapata, ukitaka kupanga mansion utapata, ukitaka kununua apartment utapata, ukitaka kupanga apartment utapata. Kitakachoongea ni preference yako na mfuko wako.