Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama wewe ni huyu then what makes you think you are any better than I.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yani una brag bei ya camera.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Aisee.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwahiyo unanijua kumbe.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Dah.!!
Kwani nani hakujui? Unalishwa na msichana wa watu, huna kitanda, unakula kwa vibanda. Na ukikula smocha unapost huku? Wewe nani hakujui? Mapua yako ni kubwa, midomo ni pana na kubwa pia, maskio kubwa. Hivi nani hakujui hapa JF?

To summarize it you are the poorest member here.
 
Kwanini all A380 huwa diverted to JNIA na sio JKIA?
Mbona watanzania ni wajinga hivi? Hii mambo ya incase of emergency planes land in nearby airports Kwani nyinyi hamuelewi?

That A380 plane landed in JNIA because if distance.
 
Thanks for this post. When I told you that your trains are using two heads to pull the coaches mliniita wazimu. Itโ€™s good you are now exposing yourselves๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 3063650
So hapo umeona inatumia two locomotives? Usilazimishe vitu ambavyo havipo. Hapo ni packing and Marshalling. Do you know how tren exchange locomotives?

Ushamba wako Peleka Kibera
 
Barabara za lami zinatafutwa kwa torch๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Yani ni lazima uzoom picture hadi ikuwe blur ndio uweze kuona barabara za lami of which ni moja pekee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Hao wapenda sifa za kijinga achana naye, mana atakutafutia picha za uongo akajifanya sura anaziba chini anaandika nipo US, haya hapo utafanyaje, achana naye ajiliwaze, ndiyo wapo hivyo ******* hawa.
Watchman siku hizi hapendi mambo za kupost pictures. Tangu ajaribu hadi tukagundua yeye ni watchman aliachana na kuambiana watu wapost picha kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Umeamua kufukuza Huyo fukara. Wewe Ukipost Camera za 400k yeye atakuwa anapost viatu vya 350 bob.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ