ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,447
- 89,848
Wewe ni ziaidi ya mbumbumbu,kwa hiyo Kwa Sasa mnavyowahi kufika Dom ndio Uchumi wa mtu wa Bahi utaimarika? Kwa hiyo reli itaondoa umaskini?Wewe sio mzima wewe πππ kwa barabara letβs say, ukitoka Dar-Mwanza kwa basi ni almost siku nzima unaitumia njiani, masaa 18 unatumia njiani, hii ni kwa basi la abiria, lory la mizigo linatembea muda gani.?
Kwa SGR treni itatumia masaa saba + kubeba mzigo mara Dufu ya mzigo ule utakaobebwa na lories kadhaa kwa cost ya chini zaidi na haraka zaidi.
Ikiwa una akili timamu hii inakwambia nini.? πππ
Mara kadhaa nimemuambia usiwe unaandika vitu ambavyo hujui. Alianza kusema magufuli aliunda wilaya 3 mkoa wa mpanda. Baadae naona akawa mpole, sijui huwa anafikiri humu watu hawajui loloteHuyu ChoiceVariable ni mwehu huyu πππ
Bajaji na boda boda ni uchafu, sio kitu cha kujivunia kwanza serikali inatakiwa iongeze kodi ili kudiscourage importation cha ajabu wao ndio wanataka kiwanda kije
Uchafu kwako ambae unaona Sgr ndio kitu Cha maana kuliko Barabara za Vijijini ambako boda na Bajaj ndio njia kuu ya Usafirishaji.Bajaji na boda boda ni uchafu, sio kitu cha kujivunia kwanza serikali inatakiwa iongeze kodi ili kudiscourage importation cha ajabu wao ndio wanataka kiwanda kije
Sijawahi kuwa mwehu ni vile akili zenu ni ndogo hamuwezi kufikiria uhalisiaHuyu ChoiceVariable ni mwehu huyu πππ
Wewe fala kweli unajua hizo jerseys ni bei gani? Na wote wamevaa new kit hapo! Kunyaland hata ya kula mzozo!Nguruwe hapendezi, yani timu zote mbili home ground yao ni Benjamin makwapa. Kenya kasarani ni kwa Gor na Nyayo kwa AFC. Alafu watu wameingia bure (kama SGR) πππ
View: https://twitter.com/realray8080/status/1820095821158789502?t=lyiNy-Q6AjqLTgSzp7caPQ&s=19
Hiyo trillion 10 kwa km 700 umeitoa wapi?Wewe ni ziaidi ya mbumbumbu,kwa hiyo Kwa Sasa mnavyowahi kufika Dom ndio Uchumi wa mtu wa Bahi utaimarika? Kwa hiyo reli itaondoa umaskini?
Unaweza niambia Kwa emkoloni hakujenga Barabara alijenga reli?
Mwisho Kwa hiyo kuwahi kufika ndio justification ya Trilioni 10 za Sgr km 700? ππππ
Usinichoshe Kwa ujinga wako bana.
Hii itakuwa wapi Kamanda wa Anga?Dar es Salaam Starbucks will Open soon! Soft Opening now.
View attachment 3061074View attachment 3061075
Ebu tuambie ni bei gani nikununulie. Weka bank account πππWewe fala kweli unajua hizo jerseys ni bei gani? Na wote wamevaa new kit hapo! Kunyaland hata ya kula mzozo!
Wewe bwana usinisumbue, taarifa zangu zote Huwa ni vyanzo vya Serikali,siokotezi.Hiyo trillion 10 kwa km 700 umeitoa wapi?
Ni nani kakuambia trillion 10 imetumika kwa km 700?
Hivi nyie nyangβau mbona mmeshindwa #Rutomustgo na mbwembwe zote zile?ππEbu tuambie ni bei gani nikununulie. Weka bank account πππ
Usiwe kama robot, ndio maana nakuambia mara zote unapotumia pages za social media uwe makini. Kuna kuandikwa ambacho kuelewa mpaka usome usikilieze hotuba yote, pia nao hufanya makosa ya uandishiWewe bwana usinisumbue, taarifa zangu zote Huwa ni vyanzo vya Serikali,siokotezi.
Hiki ni nini? ππ
View: https://www.instagram.com/p/C-IcZKYNkza/?igsh=OW84c2d1Z2F1ZzBl
Wewe nae ni mgumu sana wa kuelewa,hizo 10T zinahusisha gharama za kujenga reli pamoja na miundombinu mingine ya kufanya treni itembee kama umeme,ununuzi wa mabehewa ,vichwa vya treni nk..Usiwe kama robot, ndio maana nakuambia mara zote unapotumia pages za social media uwe makini. Kuna kuandikwa ambacho kuelewa mpaka usome usikilieze hotuba yote, pia nao hufanya makosa ya uandishi
Chini hapa ni hotuba ya waziri aliyoisoma na bungeni alisoma. Angalia gharama za mradi kwa hizo km 700.
Wewe umekuja na post ya social media, na unapenda kutumia hizi kama ndio credible sourceWewe nae ni mgumu sana wa kuelewa,h
Logic ya hoja yangu ilishaeleweka,mjadala wa Sgr naufunga rasmi.Wewe umekuja na post ya social media, na unapenda kutumia hizi kama ndio credible source
Mm nimekuwekea report ya waziri aliyoiwasilisha. But ukitaka na ya TRC nakuwekea, uone kama zinatofautiana
ππππ wewe Kweli ni kiande..Wewe ni ziaidi ya mbumbumbu,kwa hiyo Kwa Sasa mnavyowahi kufika Dom ndio Uchumi wa mtu wa Bahi utaimarika? Kwa hiyo reli itaondoa umaskini?
Unaweza niambia Kwa emkoloni hakujenga Barabara alijenga reli?
Mwisho Kwa hiyo kuwahi kufika ndio justification ya Trilioni 10 za km 700? ππππ
Usinichoshe Kwa ujinga wako bana.