Namaanisha muthaiga square... barabara za kuingia ndani kutoka thika Road. Na kuna appartment zinajengwa hapo.The fact that you can mention Muthaiga in the same sentence with bad roads means you have no idea about Nairobi or what Nairobi is like. Toka hapo Tandale utembee utajua dunia.
Tukiwaambia wanakaataa why wasifatilie kipindi Magufuli analijenga alitaka kutumia gas akakuta imechukuliwa na walitaka nchi itegemee gas iliyochukuliwa, RICHMOND, DOWANS, SIEMENS, IPTL walikua washaiweka Tanesco kwapani unadhani nani angetoa mkopo ambao ungefanya makampuni yao yakose ulaji, pia china ilikua na soko kubwa la Generator.Hapo bado Nyerere Dam ni 100% pesa ya ndani, Kunyaland bila IMF hata kulipa mishahara hawawezi
View: https://x.com/BilikwijaT70646/status/1755924307295826395?t=kcG0OkyiNwUZjwSQsgwp4Q&s=19
but no AFCON opening and closing
😂😂😂
No need bro. Believe whatever you want.🚮🚮Hebu nielezee kwa kiswahili basi. Mimi sio muingereza. Wala sijawahi fika huko England.
Lakini nchi ya kenya ni aibu juu ya aibu...na ubaya mnajitapa mbele ya watu
Kwa Barabara za ndani hata usiende hapo bro. Barabara za ndani Dar ni zero. Hata mitaa yenu ya Kifahari haina Barabara ama unataka nikuoneshe kwa picha? Kwa Barabara za ndani Dar itaingia Nairobi zaidi ya mara kumi.Namaanisha muthaiga square... barabara za kuingia ndani kutoka thika Road. Na kuna appartment zinajengwa hapo.
Mimi sio muongo muongo kama nyinyi.nidanganye dunia na nipike takwimu.
Hunidanganyi kitu na hako kanairobi kenu kadogo kama kidonge....
Wakichelewa sana watakuja kufumua hizo pavements ambazo zimewekwa tayariHiyo iko kwenye mipango ila naona wamechelewa kidogo kuanza hiyo kazi.
Tatizo mnaongea sana na misifa juu. Hapo hujajibu hoja yangu kuhusu hizo barabara za Nairobi kuwa mbovu. Umeanza topic nyingine.Kwa Barabara za ndani hata usiende hapo bro. Barabara za ndani Dar ni zero. Hata mitaa yenu ya Kifahari haina Barabara ama unataka nikuoneshe kwa picha? Kwa Barabara za ndani Dar itaingia Nairobi zaidi ya mara kumi.
South Korea firm imetoa sababu za treni kufariki porini 👇😂😂
1.Treni aina ya Hybrid zinaogopa kutembea gizani na porini (TENEBRIFICATION) tofauti na miji iliyozoea kutembea Kule Korea Kusini kule Mungyeong, Seoul Korea Kusini
2.Treni aina ya Hybrid zina tabia ya Kuona aibu Kupita mbele za watu wengi (DIFFIDENTIFICATION)
Maybe the trains need viagra …🤣🤣
Nimesema barabara za Nairobi ni bora kuliko za Dar. Hilo sii jibu?Tatizo mnaongea sana na misifa juu. Hapo hujajibu hoja yangu kuhusu hizo barabara za Nairobi kuwa mbovu. Umeanza topic nyingine.
Wapi nimekataa kuwa Nairobi is a developing city? Huu uzi ni Nairobi vs Dar sio Nairobi vs New York. Nimekualeza kuwa Nairobi is more developed than Dar kwa sectr ya barabara, hakuna mahali yeyote amekataa kwamba Nairobi is a developing city. In fact kwa hilo ni nyie Wabongo huwa mnasema mko developed wakati miji yenu ni vumbi si juzi tu mmesema humu Dodoma level zake ni ulaya?Muda mwingine unakubali kuwa bado mko nyuma Nairobi is still a developing city just like any other city in Africa...
Wacha kuingiza nchi zingine kwenye huu mjadala, hapa ni Tanzania vs Kenya. Wenye nchi zingine wakitaka ligi na sisi watatuita.Lakini kenyans wanaona wao ndo wameendelea na mbaya zaidi are always bashing other countries zilizo busy kuimprove their countries. ...
Of course a lot has to be done to call Nairobi a developed city. That still doesn't change the fact that Nairobi is more developed than Dar and everyone who visits the two cities observes that.A lot has to be done to Call Nairobi a developed city.
Hii kisumu kwa watu wenye pesa haiwezi Tonia hata kwa a random village center of katoro in geita.
Ni ajabu sana ningekua me ningetangaza Ban ya kutumia SGR kwa wajina hawa.
Wewe Kima nyie wapumbavu hamtuzidi ki barabara kwa sasa, vibarabara vyenu vyote ni basic four lanes roads. 🤣😂😂 dar ishatoka huko mzee, Nyie mna barabara mbili zenye they are more than four lanes. Au naongea uongo.? Sisi kati ya barabara sita kubwa za Dar, ni moja tu ndio ni four lanes. The rest ni kuanzia 6 lanes na kuendelea.Nimesema barabara za Nairobi ni bora kuliko za Dar. Hilo sii jibu?
Wapi nimekataa kuwa Nairobi is a developing city? Who uzi ni Nairobi vs Dar sio Nairobi vs New York. Nimekualeza kuwa Nairobi is more developed than Dar kwa sectr ya barabara, hakuna mahali yeyote amekataa kwamba Nairobi is a developing city. In fact kwa hilo ni nyie Wabongo huwa mnasema mko developed wakati miji yenu ni vumbi si juzi tu mmesema humu Dodoma level zake ni ulaya?
Wacha kuingiza nchi zingine kwenye huu mjadala, hapa ni Tanzania vs Kenya. Wenye nchi zingine wakitaka ligi na sisi watatuita.
Of course a lot has to be done to call Nairobi a developed city. That still doesn't change the fact that Nairobi is more developed than Dar and everyone who visits the two cities observes that.
Huyo jamaa ni zuzu sana huyu Boni yai sijui, hivi ilikuaje akepewa eti mayor.? 😂😂😂😂
Chadema sio chama cha siasa. Wakina Sugu, Mdude wote ni wavuta bangi na wanapewa airtime.Huyo jamaa ni zuzu sana huyu Boni yai sijui, hivi ilikuaje akepewa eti mayor.? 😂😂😂😂
Barabara gani Muthaiga Square haina lami? Hivi unaweza linganisha access roads za Nairobi na Dar?Namaanisha muthaiga square... barabara za kuingia ndani kutoka thika Road. Na kuna appartment zinajengwa hapo.
Mimi sio muongo muongo kama nyinyi.nidanganye dunia na nipike takwimu.
Hunidanganyi kitu na hako kanairobi kenu kadogo kama kidonge....
Ana akili mbovu kama rafiki yake Lewis254 huyo😎Huyo jamaa ni zuzu sana huyu Boni yai sijui, hivi ilikuaje akepewa eti mayor.? 😂😂😂😂