Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Mizigo gani? Alafu sema wahindi na warabu ndio walileta juu mlishawauzia bandari kitambo sana😂😂🤣🤣Sisi juzi tumeleta mzigo mkubwa wa vifaa kuliko huo na bado mwingine upo njiani.
Mizigo gani? Alafu sema wahindi na warabu ndio walileta juu mlishawauzia bandari kitambo sana😂😂🤣🤣Sisi juzi tumeleta mzigo mkubwa wa vifaa kuliko huo na bado mwingine upo njiani.
Dar-Moro vs Nairobi-Mobasa 😂😂😂😂. Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha PHD.KR carries more passengers than TRC. That’s a fact that you can’t dispute.
Kadogosa kasema kuanzia tarehe 14 mpaka 28 July treni imesafirisha abiria 180,000.Dar-Moro vs Nairobi-Mobasa 😂😂😂😂. Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha PHD.
Some people thought Uganda would use their SGR😂😂🤣
View: https://x.com/PatroUganda/status/1818680520592498863
Unaumia Ukiwa kwenye diesel locomotive behewa namba ngapi? 😂😂🤣Ugly station. Look at the floor vile imeparara 😂😂
Nakwambia hivi, mkuu hizo records zikiwekwa sawa hawa wasenge watakimbiana humu. 😂😂😂 they are nothing to us.Kadogosa kasema kuanzia tarehe 14 mpaka 28 July treni imesafirisha abiria 180,000.
Yeah ni kweli.Na mambo ya climate change yanavyoenda more countries are shifting to eco friendly mode of transport.
Kumbuka hizo ni takwimu za Dar-Moro.Yet KR carries 3x the number of passengers TRC does in a month😂😂🤣🤣
China watumia diesel train kwenye reli ya Kenya tuMtajua kwa nini America USA na China bado wanatumia diesel trains
Unless hukua na taarifa 😅😅😅
Mimi kwa kweli nimeamua kilipotezea hilo boya la kenya. Tunajishushia thamani yetu kujilinganisha failed SGR.Wakuu, kwanini mnalinganisha vitu viwili tofauti? SGR yetu ni tofauti kabisa na ya Kenya, achaneni nao wajifariji.
Twin tower inajengwa kwa Chepe na magari chakavu na wafanyakazi waliovaa ndala baada ya safety boots?Twin Tower of 30 floors each broken ground today in Westlands. This area around GTC now have more than 15 buildings(complete and U/C) of over 30 floors.
A Bit Clear Photos
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi ile pua imefanana kama ya Boeing ama Airbus? 😁Kiu yenu imetimia. PUA IMEWEKWA.
Haya majamaa masenge sana yaani yanalazimisha kuihusisha Tanzania kwenye majanga yao![]()
Kenya confirms first monkeypox case near border with Tanzania
The individual was travelling from Uganda to Rwanda through Kenya.www.thecitizen.co.tz
MY TAKE
Ukiwa na jirani punga hata majanga yakimtokea lazma akutaje!
Data imetolewa leo TRC carries 8k pax per day. Sasa fanya hesabu per month ni 240k. For 3 months ni 720k yenu inabeba 500k per 3 monthsYet KR carries 3x the number of passengers TRC does in a month😂😂🤣🤣
Walileta na kuziweka wapi?Mizigo gani? Alafu sema wahindi na warabu ndio walileta juu mlishawauzia bandari kitambo sana😂😂🤣🤣