Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Things that you will never see in Tanzanian SGR. Alafu wanataka kujilinganisha na Kenya😂😂😂👇👇

View attachment 3054420

Kitchen
View attachment 3054421

nafikiri pia kuna tofauti kati ya treni yetu na ya kenya, kenya kwa maoni yangu imekaa kiutalii zaidi na ndiyo maana utaisikia sana holliday season watu ndiyo hupanda kwenda mombasa lkn treni yetu ni ya kuhudumia watanzania wa kila siku wafanyabiasha au wafanyakazi wanatoka Dar asubuhi kuwahi Moro jioni kurudi hivyo haijakaa kiutalii sana kwa kifupi treni yetu ni kazi na watu watakuwa wanaitegemea ni kama maisha yetu, wakati ya kenya ni leisure, hivyo ndivyo nionavyo mimi tofauti ilipo, ukiondoa holliday treni ya kenya ni kama haina kazi …
 
Kuhusu sgr wakenya mkubali na mmove on, hata mkijichetuaje haitabadirisha kitu oote😎😂
Does your trains have features like these?😂😂🤣👇👇

1722112082460.jpeg

1722112247838.jpeg
IMG_0415.jpeg
IMG_0414.jpeg
IMG_0412.png
 
nafikiri pia kuna tofauti kati ya treni yetu na ya kenya, kenya kwa maoni yangu imekaa kiutalii zaidi na ndiyo maana utaisikia sana holliday season watu ndiyo hupanda kwenda mombasa lkn treni yetu ni ya kuhudumia watanzania wa kila siku wafanyabiasha au wafanyakazi wanatoka Dar asubuhi kuwahi Moro jioni kurudi hivyo haijakaa kiutalii sana kwa kifupi treni yetu ni kazi na watu watakuwa wanaitegemea ni kama maisha yetu, wakati ya kenya ni leisure, hivyo ndivyo nionavyo mimi tofauti ilipo, ukiondoa holliday treni ya kenya ni kama haina kazi …
Sasa mmeanza kupeana excuses after mmeona luxuxry levels za trains za Kenya?😂😂
 
Back
Top Bottom