Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama revenue zinaongezeka kweli zinaongezeka je ilhali mmepunguza idadi ya mabehewa kwa kupungua kwa abiria!?
Hapo as a result of HIGHER FARES huoni? SGR fares increased by 50% from 1000 to 1,500 in Economy Class and from 3,000 to 4,500 First Class. Wewe ni nguruwe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

IMG_0428.jpeg
 
Hapo as a result of HIGHER FARES huoni? SGR fares increased by 50% from 1000 to 1,500 in Economy Class and from 3,000 to 4,500 First Class. Wewe ni nguruwe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 3055466
Hilo sio jibu toshelezi AISEE.
Na nauli kuongezeka itapunguza abiria zaidi.
Bado hujaeleza kwanini mtumie mapato ya kodi kuendesha reli!?
 
Tuonyeshe za kwenu sasa kama ndiyo mnazotumia kwenye ginja nginja
Sasa hizo zenye ziko kwa airport zenu ndio Tuko nazo in SGR stations zetu, sio mambo ya kusukuma chuma na magoti ndio upite like in your SGR stations ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Sasa hizo zenye ziko kwa airport zenu ndio Tuko nazo in SGR stations zetu, sio mambo ya kusukuma chuma na magoti ndio upite like in your SGR stations ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Wacha upumbavu hizo zenu za SGR si biometric readable! Ni kwa ajili ya tiketi! Hizo za airport zinasoma passport, fingerprints na facial features!
 
Your education is wanting. This screenshot wewe ndio ulipost hapa and from it I can clearly see increase in revenue ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 3055455View attachment 3055457
Tanzanian SGR Dar Morogoro route alone yearly pax 4000 psgrs/day ร— 30 x 12= 1,440,000 pax Pa.
Kenyan SGR yearly pax year 2024 is 531,670 pax only.
No wonder kijana ulikuwa unapinga passengers numbers per day Dar Moro. Sasa nadhani hesabu umeona hapo juu na numbers itaongezeka tukiweka na route ya Dar Dom.
The rest piga hesabu wewe utuambie train ipi itabeba abiria wengi ๐Ÿ˜
 
Thatโ€™s your opinion. Unadhani wakenya ni maskini kama wewe na watanzania wengine?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unachagua sehemu za kujibu au siyo!?
๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Kama Wakenya sio masikini kwanini abiria wanapungua na mabehewa mkapunguza!?
Halafu hujanijibu kwanini reli muendeshe kwa pesa za kodi!?
Maana TRC sio zamani wala sasa haichukui pesa za mapato ya kodi ikalipa mishahara na kuendesha reli.
 
Tanzanian SGR Dar Morogoro route alone yearly pax 4000 psgrs/day ร— 30 x 12= 1,440,000 pax Pa.
Kenyan SGR yearly pax year 2024 is 531,670 pax only.
No wonder kijana ulikuwa unapinga passengers numbers per day Dar Moro. Sasa nadhani hesabu umeona hapo juu na numbers itaongezeka tukiweka na route ya Dar Dom.
The rest piga hesabu wewe utuambie train ipi itabeba abiria wengi ๐Ÿ˜
Na ikikamilika mpaka ya Tabora AISEE kwisha kazi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Maana sisi kina ndugu zake ngosha tunateseka kufika kanda ya ziwa.
Tutazitumia kwa fujo hadi ziseme basi.
 
Back
Top Bottom