Na hii ni ule upande wa kushoto bado zingine ziko ule upande wa kulia.😂😂😂 wewe ni either mpumbavu au punguani. How many scanners can clearly be seen from this picture 👇🏾View attachment 3055086
Hii inatumia window 10 ku-operate.Unabishana na chizi!
View attachment 3054903
Zaidi ya kadhaa za ulaya
Kwahivyo hizi hutaki kuleta 😭😭😭😂View attachment 3055164
Bajeti kubwa iko wapi hapo kati ya hizo picha 2?
Hapo ni mwendoo wa mpini🍆 kugusa tako
Unafaa utambue sio kila abiria ana simu janja na kingine huu ni mfumo mpya kwaiyo watu wengi hawafahamu ila baada ya mda hizo foleni hutoziona tena watu watakua wana scan tu hamna mambo ya kubebana na makaratasi kibao kama kama kwenu hukoNi moja and that’s why kule nyuma watu wamejazana😂😂🤣🤣
Hivi Kadogosa haoni umuhimu wa security barrier/poles kulinda hilo jengo incase of terror attack?
Imebidi walete bus station 😂😂😂Watanzania wameshindwa kupata jibu la hili?🤣🤣🤣.
Three trains loading and offloading at the same time bila wasiwasi. Tanzania can’t try this🤣🤣👇👇
View attachment 3055150
View attachment 3055152
Kitu ambacho hawafahamu izo emu mbili wanaweza kuuanganisha chuma ikawa moja haya mambo huko ukunyani hambaWasione hii plz inatia hasira Sana😂😂😂
View attachment 3054999