Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Una kiwanja wapi Sudan?
Kabla hujapanua mdomo unatuliza ................
IMG_0641.JPG

Wapi nimesema sudan
 
post mzima watu wa daresalaam wametuconfine kwa cbd / kariakoo...a place where less than 30k people live out of the 3 million Dar residents live.........hawaezi taja estates hapa ama superhighways.....hahaha
 
Una kiwanja wapi Sudan?
Jamaaa n.mafala.....yani silent..thief....pia.watz walipanga kuiba EMB U county..na walemavu......yani Zanzibar wana hata wimbo yah taifa..soka team rais wao currency Alafu wanasema niyao na vile she in amejitaidi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kitu ichoboy amewafanya wakenya leo katika huu uzi,hawatamsahau.

Natangaza rasmi kuwa ichoboy ni kijana mwenye roho mbaya kupata kutokea ktk huu uzi.

Sijui kama kuna mkenya anayo nguvu ya kuendelea kubishana.
ichoboy chuma cha reli.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Jamaaa n.mafala.....yani silent..thief....pia.watz walipanga kuiba EMB U county..na walemavu......yani Zanzibar wana hata wimbo yah taifa..soka team rais wao currency Alafu wanasema niyao na vile she in amejitaidi
Kinachokuuma wewe kwanini zanzibar na tanzania ni kitu kimoja😀😀😀😀 dua la kuku halimpati mwewe
 
your stupid. Jifunze kuhusu Tanzania. Utaumia sana maana hujui chochote kuhusu Tanzania..
 
yule shule hamna.... kichwani kabeba funza....sidhani kama ameelewa lengo la kumuwekea ramani ya jamhuri ya tanzania.
Roho imemuuma sana yania kavimba anatamani kupasuka😀😀😀😀😀 bahati nzuri nimemwambia akitaka kupasuka anishtue nishuhudie
 
Kinachokuuma wewe kwanini zanzibar na tanzania ni kitu kimoja😀😀😀😀 dua la kuku halimpati mwewe
Yani nyie walalas mnajisifu na inchi yah enyewe...............sana....na.hamna ki2..._ni.....ombaomba 2..na usenge na issue za Kenya..at a tumewapia.Malawi kujeni nao
 
Goja.....ndaleta .picha yah Seychelles... Zanzibar itabigwA 60 -0,,, msa vs dar 5-1 Kenya vs Tanzania 10-0
 
Back
Top Bottom