NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Wakundustan waje kutuonesha na mashine kama hii uko kwao 😀,halafu wakundustan siku hizi ligi za bus stand hawazitaki mtu afanye kupost ile stand ya mwenge ili waje kucompare na ya kwao
We punga wacha excuses za kipumbavu, ilitakiwa mjenge bridge hapo na sio kutesa abiria, yani mtu atoke chini apande juu alafu ashuke tena chini, ni ufala huo, hii hapa Dar station 👇👇What Watchman aka The best 007 need. This is Tanzanian SGR track watu wakipita juu yake😂😂🤣👇👇
View attachment 3053501
What watchman doesn’t need. A bridge over SGR tracks😂😂🤣🤣👇👇👇
View attachment 3053511
Kafie mbele bwege wewe, kwahiyo unataka kulinganisha Dom na mji gn hapa EA, Dar yenyewe haiingii kwa Dom ya sasa.RRONDO unaona ninapokwambia Kuna wajinga wengi wabongo hili jukwaa ila unawakubali? Sasa huyu naye unamchukuliaje? View attachment 3053847
Unamaanisha Bitches? 😂😂😂
Kwanza SGR yetu yote iko fenced, unaleta picha za mgr kujiliwaza mku.ndu wako.What Watchman aka The best 007 need. This is Tanzanian SGR track watu wakipita juu yake😂😂🤣👇👇
View attachment 3053501
What watchman doesn’t need. A bridge over SGR tracks😂😂🤣🤣👇👇👇
View attachment 3053511
Weka video train yoyote ya Kenya ikitembea more than 60km/hr ili niondoke jf.So ukiwa na gari inaezaenda a speed of 260km/h but wewe kama mwenyeji umeamua kuiendesha at 60km/h so inamaanisha highest speed ya hiyo gari sio 260km/h? Ebu nikumbushe level yako ya elimu😂😂🤣
Mbio za km 10,000 ndiyo za kujifia? Ukitaka kujua olimpiki sio michuano mikubwa kisoka hakuna nchi yoyote kubwa iliyopelekea wachezaji wake first eleven huko, upuuzi mtupu na ndiyo maana bado ss ni footballing nation, hayo mambio mbio ya km50,000 tumewaachia nyinyi wamasai 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Out of those 7 people at the Olympic only 2 people ndi ni wachezaji. Watanzania si mngebaki tu nyumbani basi😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3053516
Wapi pamechoka hebu nioneshe, alafu huyu ndiyo anatafuta huruma kutoka kwa RRONDO wakati yeye ndio kiongozi wa kucoment, haya nioneshe environment iliyochoka hapa kama sio wivu 👇👇Ebu angalia hiyo environment vile imechoka tunaambiwa kama ulaya. 🤣 🤣 🤣
Unajua wakati mwingine ninyi wakenya mnakuwa kama mataahira, hivi kabla ya kupost huwa unajiuliza kweli? Sisi watanzania tumeshaonesha kwamba tunaakili kubwa kuliko ninyi wakenya, hivi ushajiuliza kwnn hili eneo ni kubwa na lipo cleared like this? 👇👇Stations za Tanzanian SGR can’t accommodate two trains at a go Kama za Kenya.
Kenya
View attachment 3052963
Uchawiland only have single tracks😂😂🤣👇👇
View attachment 3052967
Na haiwezekani mana mlishakosea, ili SGR yenu iwe kama ya Tanzania inatakiwa mfumue yote muanze upya, kumbuka SGR yenu haiko welded ni jointed rail so haiko comfortable hata uweke train gn lazima ikifika speed ya 50km/hr itaanguka. Poleni sana wakenya.Watu wamezoea kuangaliana kama punda wanataka ati Kenyan SGR pia ikuwe kama yao😂😂🤣
Hapo hata kusoma hawawezi, ni mwendo wa kurushwa rushwa kwa masaa 6 mpaka wanafika mombasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Utaongea sana mzee, pole kwa uchungu ulionao 🤣🤣Everything in this project has a problem😂🤣🤣🤣.
In Nairobi ukishuka unakutana na clear compound. Clean and neat with no unnecessary cars except for official use.
View attachment 3053171
In Dodoma ukishuka unakutana na dumpsite like this😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3053172
Hii ni presidential carriage leta ingine 😃
Very plain coach no HVAC, No video screens, no WiFi, no baby changing facilities, no refreshments bar, no space for hard luggage squeezed seats and poor lighting.