much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,578
Hiyo ni garimoshi sio trainRemember that train has higher maximum speed than Tanzanian trains😂😂🤣
Hiyo ni garimoshi sio trainRemember that train has higher maximum speed than Tanzanian trains😂😂🤣
How we decide to regulate our train speed is up to us. Tukipenda hata tunaezaweka restrictions of trains not going above 10km/h.Hii story ya maximum speed inanichelesha sana 😂😂😂😂 anyway share with us the train schedule from Nairobi -Mombasa watu wa nataka kulingalisha which one goes faster 😂😂😂😂
Now these are the effects of not going to school🤣🤣😂. What’s train according to you? Elimu ni kitu muhimu kijana😂😂🤣Hiyo ni garimoshi sio train
Ongea lugha zote but hiyo ni garimoshiNow these are the effects of not going to school🤣🤣😂. What’s train according to you? Elimu ni kitu muhimu kijana😂😂🤣
Mkuu mpaka nikajiuliza kwa nini hawajajenga kama hii Dar? Dodoma SGR station ni nzuri sana.
Nimemtupa ignore list huyo mbuzi. Kwasababu anaandika upuuzi ambao inabidi ufumue fuvu lake umuweke sawa. Sasa kuokoa muda wangu ni heri nisione pumba zake.Nadhani unanijua. Unakumbuka ulipigwa ban. So unatakiwa uwe mstaarabu. Hatuwezi kuwa na mada kama wavuta bangi hapa. We are discussing serious issues.
So unatakiwa kukubaliana na uhalisia. La sivyo nitaanza tena..
😂😂😂😂 umegoma kuleta train schedule?How we decide to regulate our train speed is up to us. Tukipenda hata tunaezaweka restrictions of trains not going above 10km/h.
But the truth will always remain pale kwa speedometer. One has 200km/h maximum speed and another one has 180km/h and 165km/h maximum speed. Which one among the three has higher speed?😂😂🤣🤣🤣
Is it not a train?😂😂🤣🤣.Ongea lugha zote but hiyo ni garimoshi
Kenyan trains have higher maximum speed than Tanzanian trains. Ni nini huelewi hapo?😂😂🤣😂😂😂😂 umegoma kuleta train schedule?
Anyway hiyo exra speed ya hiyo treni yenu ni ya nini? 😂😂😂
Sasa mzee ikiwa treni yetu inachukua only 3 hours Kufika dodoma while your train takes 6 hours to do the journey of same distance that of Dar~Dom, then which train is faster? 😂😂😂😂
Acha kujichetua wewe mama.Kenyan trains have higher maximum speed than Tanzanian trains. Ni nini huelewi hapo?😂😂🤣
Yes it is. 😂😂😂👇🏾Is it not a train?😂😂🤣🤣.
Remember hiyo gari moshi iko na high speed than yenu ya electricity 😂😂🤣
😂😂😂 but your train schedule says vise versa.Kenyan trains have higher maximum speed than Tanzanian trains. Ni nini huelewi hapo?😂😂🤣
So ukiwa na gari inaezaenda a speed of 260km/h but wewe kama mwenyeji umeamua kuiendesha at 60km/h so inamaanisha highest speed ya hiyo gari sio 260km/h? Ebu nikumbushe level yako ya elimu😂😂🤣😂😂😂 but your train schedule says vise versa.
Hiyo max speed inatumika mbinguni? 😂😂😂😂au ukiwa unaota usingizini?
Sasa hii disorganized station iumize nani roho?😂😂🤣Hii kitu inaumiza Sana roho za watu😂😂View attachment 3053510
Thanks for accepting.😂😂🤣🤣👏👏👏Yes it is. 😂😂😂👇🏾View attachment 3053494hii treni inatumia makaa ya mawe? 😂😂😂 au pet coke? 👇🏾View attachment 3053496
😂😂😂 heb post ile train schedule I want to show you something.So ukiwa na gari inaezaenda a speed of 260km/h but wewe kama mwenyeji umeamua kuiendesha at 60km/h so inamaanisha highest speed ya hiyo gari sio 260km/h? Ebu nikumbushe level yako ya elimu😂😂🤣