Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Sikuhiz hauelewi kiingereza? 😂😂😂Atcl ilibeba abiria 850,000 last year compared to 2.5million by KQ😃View attachment 3051860
Sikuhiz hauelewi kiingereza? 😂😂😂Atcl ilibeba abiria 850,000 last year compared to 2.5million by KQ😃View attachment 3051860
Plans yani ndoto 😬So 2023 ime safirisha abiria 1.2m ni sawa hio ??🤣
Na mm ndio nimeshangaa 🤣🤣🤣🤣kajitwanga risasi mguuniSikuhiz hauelewi kiingereza? 😂😂😂
Plans yani ndoto 😬
Basi tuseme wamepika data vipi moyo umetulia 😃Labda by cooking figures inaweza 🤣🤣🤣
Bado hujashangaa 😬😬Na mm ndio nimeshangaa 🤣🤣🤣🤣kajitwanga risasi mguuni
Sa 💯 ndio kajenga na wala hashiboki 🤪🤪Hata Bwawa la umeme kajenga Nyerere kwakua ni yeye aliye asisi ujenzi wake. Mbona ayuko proud na Bodaboda alizoanzisha?
Hivi lile nginjanginja lina huduma kama hizi za kwenye ndege au mpaka uende kwa dining car? 😁
View: https://youtube.com/shorts/xKOPoDOxDl0?si=72PMso1HEDGtGMy8
Kama mnatambua haki zenu mlikua wapi wakati wanasiasa wenu wanaiba hadi kufikia mmekopa hadi kufikia imf kuwapa warning?kwasababu wanatambua haki zao kama wananchi kuliko nyie mnaoogopa kufight haki zenu kwasababu ya uongozi wa kimabavu
Unaona hii ni fact kubwa sio , hapo air tanzania haina destination nyingi kama KQ , pata picha tungekuwa na ndege 35+ kama nyinyiAtcl ilibeba abiria 850,000 last year compared to 2.5million by KQ😃View attachment 3051860
Vipi Leo umekua shabiki WA Putin??🤣🤣🤣
Sikuhiz hauelewi kiingereza? 😂😂😂
Nilikuwa nawachora tu! KQ imebeba 5million passengers last year hakuna catching up yeyote mnaweza fanya. Competition ya atcl ni Precision Air. KQ ikipata investor mkubwa hata Ethiopian airline haifikiUnaona hii ni fact kubwa sio , hapo air tanzania haina destination nyingi kama KQ , pata picha tungekuwa na ndege 35+ kama nyinyi
We ndo umegoma kabisa kuandamana..Our 3rd biggest airport is kisumu which is farther than dar and Kilimanjaro
Only one arm rest on a squeezed three seater 🤣🤣🤣🤣Notably passengers will no longer sit facing each other 🇰🇪😍View attachment 3051792