Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imagine😂😂🤣🤣
We ng'ombe huna hii Habari? 😂😂😂😂 Tena bila meza, mchina Mungu amuweke

Screenshot_20240723-175403.jpg
 
Kwahivyo tuamini watu wa pugu ndio watajaza hizo viti wakati mnasema population ni ndogo ndio maana vituo vidogo🤨
Nahisi umeanza kudata.
Kuna vituo vingapi vidogo baina ya Posta station na Mkundi Morogoro!?
Bila shaka kuna vituo vinne katikati hapo.
Halafu pia usisahau route zimeongezeka kuna muda ambao route fulani abiria wanajaa na kuna route fulani abiria wanapungua.
 
Back
Top Bottom