Mpaka hii unabisha mzee!?Leta evidence mtu akilalamika kuhusu hizo vitu viwili niondoke jf
Acha basi utani.
Mpaka hii unabisha mzee!?Leta evidence mtu akilalamika kuhusu hizo vitu viwili niondoke jf
Eti old coaches 😂😂😂 are they off service now? Have you grounded them? Mbona hata mpya mnaangaliana tena bila luxury ya meza katikati na ni business class? 😅😅
Kuna wachawi walikuwa wanasema ati Kenyan coaches has no WiFi.😂😂👇👇
View: https://x.com/KenyaRailways_/status/1815748368657686528
Ushamba ukiisha hii treni haitapanda mtu.
Nimekuambia leta evidence mtu akilalamika kuhusu noise na kutikisika kwa treni ya kenya niondoke JfMpaka hii unabisha mzee!?
Acha basi utani.
Una uhakika kuwa hiyo treni imeanza safari mpaka inamaliza ikiwa hivyo hivyo!?
Akili ndogo. Hakuna kuangaliana in new coaches.Eti old coaches 😂😂😂 are they off service now? Have you grounded them? Mbona hata mpya mnaangaliana? 😅😅
View attachment 3050138
Kwani train imekuwa daladala tena?😂😂🤣🤣Una uhakika kuwa hiyo treni imeanza safari mpaka inamaliza ikiwa hivyo hivyo!?
😂😂😂😂😂😂Hivi hujui kama kuna wanaobebwa njiani na kuna wanaoshuka njiani!?
Naona umeamua ubishani wacha nikuache.Nimekuambia leta evidence mtu akilalamika kuhusu noise na kutikisika kwa treni ya kenya niondoke Jf
Leta evidence😂😂Naona umeamua ubishani wacha nikuache.
Akili ndogo. Hakuna kuangaliana in new coaches.
Anyway how is your SGR doing? Naona ishaanza kuchapa safari za empty seats😂😂🤣👇👇
View attachment 3050142
Kwani hakuna vituo vidogo!?Kwani train imekuwa daladala tena?😂😂🤣🤣
Dining coachView attachment 3050148
Hawa wanafanyaje?
Sijaona pugu wala soga katika trials, lini zimeanzaKwani hakuna vituo vidogo!?
😂😂😂😂😂😂We jamaa ni kichaa!?
Hata gari la mkoani si lina vituo vya njiani kabla haijafika main bus terminal!?
Pugu Na Soga sio vituo vya njiani!?
Au Pugu na Soga ni main rail station!?