Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walisema tumeiba picha za nchi zingine? Obviously they will not believe.😂😂😂👇👇

1721643622333-jpeg.3048724


View attachment 3048727
View attachment 3048730
Sasa wewe kichaa ndo umeweka nn, hata iwe comfortable vp haina maana coz reli yenu ni jointed lazima abiria arushwe rushwe, reli yenu haisapot speed kubwa na pia ni outdated hata ulie.
 
Anasema limekuwa tangu Uhuru yet Dodoma imechaguliwa kuwa capital mwaka wa 1996 na shughuli za utawala zimeanza kupelekwa huko majuzijuzi tu. Bunge la kwanza limefanywa Dodoma mwaka wa 2017. Yani huyu mtoto achana tu naye.😂😂
We kweli makalio.
Bunge la kwanza lilianza kufanyika Dodoma 1970s katika kumbi za Pius Msekwa.
Yani wewe ujue historia yetu kuliko sisi!?
 
We kweli makalio.
Bunge la kwanza lilianza kufanyika Dodoma 1970s katika kumbi za Pius Msekwa.
Yani wewe ujue historia yetu kuliko sisi!?
But the current Dodoma Parliament was built in 2006😂😂
 
Hiyo ni economy.
Bado business na VIP class,Je umeona mabehewa yake!?
Pia treni zetu huchukua muda mfupi wa safari hivyo hauchoki.
Umeona economy class yetu, Kuna haja gani ya Mchongoko wenye interior ya matatu 😂
 
We jamaa fala kweli, sasa unafananisha huu uchafu na train za Tanzania full AC? Wapi wanacharge devices kwenye hii class? Wifi ipo wapi? Seat recline zipo wapi? Screens zipo wapi? Security cameras zipo wapi?
Unaumia ukiwa wapi?😂😂😂👇👇👇

Wakati bado mnaangaliana kama nguruwe Kenya is saying NO to seating arrangement where passengers look at each other.


View: https://x.com/MugoAlexM/status/1814199070728098035
 
Back
Top Bottom