Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kuumia. Hii hapa ilikuwa 120km/h na haikuangukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

What you are posting is MGR trains.

View attachment 3049064
These are used trains zilikuwa zikitumika China kwenye reli inayosapoti hiyo speed wakafanya refurbishment wakaleta kwenu kwenye reli ambayo ni low speed.

Ukifanya procurement ya kitu kipya huwa kinatengenezwa according to specifications mfano train inayotakiwa ku operate at 120kph locos can be designed with speeds up to 140kph sio 200kph maana ni useless na ni gharama lakini kama ni used locos unaeza pata hata yenye speed mpaka 500kph wewe tuu lakini utaitumia wapi?
 
Ila mchina. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ona unavyotapa tapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo utake USITAKE ni 200kmph
Endelea kuongea hewa . Below is the realityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£
 
Unawapaisha sana ukiweka neno welded πŸ˜…πŸ˜… technically hawana rail ipo welded, ni yale yenye thermal expansion gaps ya mjerumani πŸ˜…πŸ˜…
 
At night windows are covered so that passengers aren’t disturbed by outside light. Kule kwa wachawi hakuna hata window curtains πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…