Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo letu watu meaning raia wanajenga nje kabisa ya mji kabla ya huduma kufika ndio unakuta kuna shule ndogo kuliko idadi ya watu. Rarely huwa inatokea na immediately huwa sorted ikionekana inatrend! Zimamoto culture.
 
Mwenyekiti naomba utoe tangazo kila mtanzania anapo andika ujumbe au kuweka picha amalizie na hashtag #RUTOMUSTGO
Hapana kaka sio suala la kusifia hata kidogo bado tuna shida nyingi Sana za kutatua kwenye nchi hii, tunaingia kwenye mkenge WA debt burden kwa kusifiana tu
 
Nicheke mie πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ wanajiona wao na SA ni levo moja 🀣🀣

Wakufunga boda ni Sisi, Tanzania, Uganda...the whole of EA . Angalia the inflilux of them they hizi nchi zote!!

Yani hawa jamaa wanamatatizo balaa, dah!!!
😁😁😁 Wakati wao Pamoja na hostility yetu waliotupachikia vichwani mwao bado wanaipenda Tanzania and wish to live in, imagine mpaka chakula wanaagiza Tanzania wakati hata wakinunua huko huko kwao bado kimetoka Tanzania πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…