President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,623
- 94,223
Mjadiliane na nani? Kenya hakuna Electric train. We cannot discuss with poor people.Tunajadili kuhusu express train zinazo simama morogoro pekeyake.View attachment 3046347
Nimekwambia speed ingekua 160kph time ya kutoka dar to dom isingechukua zaidi ya 2hr 45min.160kph no operational speed wewe hukuona kitu kinahonga more than 176kph ana unajitoa ufahamu tuu?
Kwanza unatakiwa uelewe maana ya operational speed na hakuna train yoyote duniani inaweza kwenda na top speed constantly maana kuna acceleration na deceleration.
Hatuwezi jadiliana na maskini sisi. You are poor. You cannot come here to discuss Electric trains issues.Nimekwambia speed ingekua 160kph time ya kutoka dar to dom isingechukua zaidi ya 2hr 45min.
Unaelewa kingereza, as high as 160kph inamaanisha vipi??
View attachment 3046353
Ni mkenya?Peleka wivu mbali. Kwani ulitaka Obama awe mtanzania?πππ
Obama in Kenya akiwa mdogo.
View attachment 3045772
View attachment 3045773
View attachment 3045774
Hizi ndizo zinazowapoteza hebu check CBD yenu like Seriously mnaita hii CDB?Peleka wivu mbali. Kwani ulitaka Obama awe mtanzania?πππ
Obama in Kenya akiwa mdogo.
View attachment 3045772
View attachment 3045773
View attachment 3045774
Vipi mzee umepata picha nzuri ya chura unirushie dm ?Hatuwezi jadiliana na maskini sisi. You are poor. You cannot come here to discuss Electric trains issues.
Nenda kapambane na Gen Z. Mkimaliza mje hapa.
Unataka picha ya chura tena π€£ π€£ π€£ π€£ nyie ni masikini.Vipi mzee umepata picha nzuri ya chura unirushie dm ?
Hii hesabu yako yenyewe uliopiga hapa ni ya ukilaza na uongo. πππ utaacha lini ukilaza wako na uongo? Sasa ikiwa safari nzima inatumia 3:25 hours, ukiondoa dakika tano za kusimama kituo cha morogoro utapata kwamba treni imetumia 3:20 hoursNionyeshe hivo vituo manake ni kimoja cha morogoro na within dakika 5 treni imeondoka. So wacha tufanye adjustment ya hizo dakika
3:25-0:05= 3:20
Speed = distance/time
= 457/3.3
Speed = 138.5km/h
Wajanja tunajua average speed ni 140km/h
Ucafu. Kijana wangu. Unatuwekea uchafu humu. Tanzania tulishatoka huko. Tupo kwenye Electric Trains.Moyale bound buses made in Kenya. View attachment 3046370
Takataka. Tueleze kwanza Gen Z wanamaliza lini maandamano? π€£π€£π€£π€£Majengo, Marsabit.View attachment 3046371
Dah alooo kuna shida kubwa sana na elimu ya Tanzania.Hii hesabu yako yenyewe uliopiga hapa ni ya ukilaza na uongo. πππ utaacha lini ukilaza wako na uongo? Sasa ikiwa safari nzima inatumia 3:25 hours, ukiondoa dakika tano za kusimama kituo cha morogoro utapata kwamba treni imetumia 3:20 hours
Ukifanfanya hesabu za kujua ni speed gani ilitumika hiyo hesabu itakua hivi
Speed = distance/time
Ambapo ni hii 458km ukigawa na hii 3:20 jibu ni 143.125km/hour
Haya tueleze hii 138km umepata wapi? πππππ