ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Tengeru road arusha2lanes pekee .....wacha aibu ndogo ndogo
Beautiful one na mto huo ni upi?
Likoni hio ni ndoto ndugu plan yake ilikuwepo 10 yrs back lakini mpaka leo hakuna ishara yoyote ya ujenzi mutaendelea kusaga meno😀😀😀The 1.4 km Likoni bridge construction to begin April 2018.
Nyashishi mwanzaBeautiful one na mto huo ni upi?
store yetu ya siraha inazidi pata zana-vita mpya za kuwagongea.Kadoda hii ndio secret weapon mpya. Ile uipumzishe kidogo.😀

It took you ages to reply huh? Ina maana umeshinda Google ukitafuta hizo data na sasa umerudi na ushujaa baada ya kukosa such information.Niletee oficial link inayosema nai gbp is 40 alaf niletee link inayosema dar is 9, na usipoleta basi wewe unagovi😀😀😀😀
Hata za Bagamoyo zilikuwa tayari...Anything ya huko Danganyika Mimi huamini nikiona na macho otherwise hizo zingine ni tuta tuta .Likoni hio ni ndoto ndugu plan yake ilikuwepo 10 yrs back lakini mpaka leo hakuna ishara yoyote ya ujenzi mutaendelea kusaga meno😀😀😀
Surender bridge dar 7.1 km january ujenz unaanza
Na site preparation tayari
That's good news for likoni area.....I miss Mombasa banaThe 1.4 km Likoni bridge construction to begin April 2018.
Kama huna sema sina usizungushe mada😀😀😀It took you ages to reply huh? Ina maana umeshinda Google ukitafuta hizo data na sasa umerudi na ushujaa baada ya kukosa such information.
You guys have a certain inferiority complex and it won't be solved through competition with your bigger brother. Kunywa kopo la maji ukitafakari hayo.
Likoni itabaki a dream 😀😀😀😀 sio plan ya jana wala ya juzi na haina dalili yoyote, labda mtuoneshe rendersHata za Bagamoyo zilikuwa tayari...Anything ya huko Danganyika Mimi huamini nikiona na macho otherwise hizo zingine ni tuta tuta .
10 yrs back good news was there also about likoni😀That's good news for likoni area.....I miss Mombasa bana
By 2022 It will be the second largest city in East Africa after Nairobi infrastructural projects put into consideration.That's good news for likoni area.....I miss Mombasa bana
😀😀😀😀 Ndoto nazoBy 2022 It will be the second largest city in East Africa after Nairobi infrastructural projects put into consideration.
Sindano imekuingia hadi kwa mfupa ndugu utapona tu.😀😀😀😀 Ndoto nazo
Hakuna project kenya inashtua ndugu, na kuna zingine zishakufa😀😀😀 konza na tatu zilishajifia zamani, montave na pinnacle bado ziko kwenye karatasi,😛😛Sindano imekuingia hadi kwa mfupa ndugu utapona tu.