Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Evidence muhimu, population ya 60million na stima ya 1500megawatts zimekataa hiyo electric train from the word go.
Tanzania population is 55 million mpaka sasa umeme ni 1850MW hapo hapo ukumbuke kinyerezi 2 inakamilika mwakan itazalisha 240MW on top of that stiglers gorge ujenzi umeanza wa the biggest dam in east africa itazalisha 2100MW by 2020, kuna kiyerezi 3 ujenzi unaanza mwakani utazalisha 400MW bro nakwambia mpaka 2020 tanzania itazalisha umeme 5000MW
 
If wishes were dreams, Tanzanians would be the best at em.
 
kariakoo
4fe6b7a033ab536c690ff69e97bb333c.jpg
301108c7adeb82dfdbd6494c54caffb4.jpg
84e16deb52d3f47fc9063bb17e3034f2.jpg
 
Short memory mbona na geza kaleta hapa loan toka mchina ya 7.6 billion dollars?
Ukiniletea link kua tanzania imekopa pesa phase one and two natoka jamii forum😀😀😀😀

Unacheza na chuma magufuli kashangaza ulimwengu kutoa pesa mfukoni mpaka sasa 3.16b
 
a "dream house" massionette in Dar is slum occupying 90% of the city with some hot jacuzzi
7a4aae0be8c22f17bd03c914e35e8708.jpg
 
Ukiniletea link kua tanzania imekopa pesa phase one and two natoka jamii forum😀😀😀😀

Unacheza na chuma magufuli kashangaza ulimwengu kutoa pesa mfukoni mpaka sasa 3.16b
Weka picha za hiyo reli imeundwa na hizo pesa ndio ujue huwezi toka JF.
 
Ukiniletea link kua tanzania imekopa pesa phase one and two natoka jamii forum😀😀😀😀

Unacheza na chuma magufuli kashangaza ulimwengu kutoa pesa mfukoni mpaka sasa 3.16b
Picha za iliyojengwa na 3.1 ziko wapi?
 
Back
Top Bottom