Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata iwe na GDP ya $100B, inamaana gani kama zaidi ya nusu ya population inalala kwenye slums bila vyoo wala chakula?, ulishaona wapi mtu mwenye pesa akaugua kipindupindu?, au akafaa kwa njaa?,,stupid
Siku akikuonesha wapi official link imesema nai ina 40 b gdp nitag😀😀😀😀😀 wanafkiri 40b nikama kula vitumbua
 
At a chakula tunakula ati ni yao......at a news paper washaiba

Yani nyie walalas mnajisifu na inchi yah enyewe...............sana....na.hamna ki2..._ni.....ombaomba 2..na usenge na issue za Kenya..at a tumewapia.Malawi kujeni nao

Goja.....ndaleta .picha yah Seychelles... Zanzibar itabigwA 60 -0,,, msa vs dar 5-1 Kenya vs Tanzania 10-0
El Matador huyu mkenya takataka mmemtoa wapi?.smh

anawashushia hadhi bro.hajui kuandika kiswahili pia hajui kuandika kingereza.

mimi huwa najua mkenya hata kama hajaenda shule lakini angalau anajua ku-argue kwa kingereza hata cha kudanganyia,lakini sio huyo kilaza hapo juu.

hajui kutetea hoja zake,anakurupuka tu kama nguruwe pori.

mkimuacha aendelee hapa katika hii thread,atasababisha tuwadharau sana.

anawaharibia image yenu.mtumieni PM za kumpiga marufuku kushiriki katika hii thread.
 
Niletee oficial link inayosema nai gbp is 40 alaf niletee link inayosema dar is 9, na usipoleta basi wewe unagovi😀😀😀😀
Avipate wapi wakati hata chakula hana uhakika wa kukipata huyo, wazee wa njaa hao
 
El Matador huyu mkenya takataka mmemtoa wapi?.smh

anawashushia hadhi bro.hajui kuandika kiswahili pia hajui kuandika kingereza.

mimi huwa najua mkenya hata kama hajaenda shule lakini angalau anajua ku-argue kwa kingereza hata cha kudanganyia,lakini sio huyo kilaza hapo juu.

hajui kutetea hoja zake,anakurupuka tu kama nguruwe pori.

mkimuacha aendelee hapa katika hii thread,atasababisha tuwadharau sana.

anawaharibia image yenu.mtumieni PM za kumpiga marufuku kushiriki katika hii thread.
Huyu anashangaa kugundua kwamba Tanzania imeipita Kenya kwa mambo mengi, anashindwa kukubaliana na hiyo hali, kwahiyo anajaribu kupambana na hiyo hasira aliyonayo, ila atatulia twende nae mdogo mdogo
 
SGR work going on 😀😀😀
IMG_1409.JPG
IMG_1410.JPG
 
long term proposals .....sawa na likoni bridge na second nyali bridge ambazo sijazileta hapa.weka miundo mbinu ya maana ambayo ujenzi unaendelea kaka
Who told you wakat ujenzi wa surender bridge dar unaanza unaanza january 7.1km
Bro magufuli hana mchezo na huo ujenz wa busisi uko kwa budget ya mwaka huu na ujenzi unaanza mwakani
 
Back
Top Bottom