Alafu tunaoneana husuda, imagine una mtu kama Dangote mwenye uwezo wa kujenga refinery unamuacha unaenda nje unakumbuka ukiwa ushafungwa na mikataba.Arabs woke up and focused on using their God given natural resources to uplift the standards of their citizens… from Bahrain, Kuwait, UAE, Saudi..and now Egypt etc… sometimes I wonder why can’t Nigeria be on same level with all that black gold they possess…
Next things ni uchaguzi wa quality, mbona kuna majengo hapa bongo yanakaribiana Bei na UDSM new library ambayo ni ya viwango vya dunia ila wanawapa TBA wamekaa kizamani kujenga apartment building.Arabs woke up and focused on using their God given natural resources to uplift the standards of their citizens… from Bahrain, Kuwait, UAE, Saudi..and now Egypt etc… sometimes I wonder why can’t Nigeria be on same level with all that black gold they possess…
Kigali sio mfano kaka. Hakuna international infrastructure standards in kigali.. Ila imejitahidi . Wanachofanya waarabu in kitu tofauti kabisa, hakijawahi kutokea Africa Tangu iumbweNext things ni uchaguzi wa quality, mbona kuna majengo hapa bongo yanakaribiana Bei na UDSM new library ambayo ni ya viwango vya dunia ila wanawapa TBA wamekaa kizamani kujenga apartment building.
Ninaona pesa zinamwaga sehemu alafu ujuakali mwingi wakati hizo pesa sawa ukiipa kampuni nyingine inafyatua kitu vizuri, (Elimu kwa watu pia nchi za kiarabu hazioni haya kuleta watu wa nje kuwasaidia kupendezesha nchi, sio sisi tunaleta wasaidie tupate 10%).
Hata Africa hata kama ni masikini tunaweza fanya miji ionekane safi yenye mpangilio na utaratibu (Kigali imetupa mfano). Sema inahitaji collection ya wananchi.
Next, Waarabu wapo busy na kuleta watu ili walivyojenga visije baki magofu, imagine unajenga Machina Complex alafu unaruhusu machinga kuzagaa barabarani 😃
Bajaj,bodaboda zizuiliwe kuingia city center,machinga wanaopanga biashara zao barabara,kkoo,mbagala,mbezi,machinga walioziba barabara za mitaa ya kkoo,waondolewe watafutiwe sehemu zingine wakajitafutie ridhkiWacha upumbavu na wewe kaa uelewe mada kwanza mtanganyika wa 90s.
Namaanisha kulipanga jiji kupunguza chaos haikost mambo mengi.Kigali sio mfano kaka. Hakuna international infrastructure standards in kigali.. Ila imejitahidi . Wanachofanya waarabu in kitu tofauti kabisa, hakijawahi kutokea Africa Tangu iumbwe
Munahangaika na vitu havina maana munasahau haya matapishi👇👇👇
View: https://x.com/NationAfrica/status/1812012137033671124?t=lovEkgHmlLh47kgs4fMQ6g&s=19
Hakuna sitting plan ya international standards in Kigali bro. Kigali ni Mji wenye vibe za any other African city but it’s cleaner.Namaanisha kulipanga jiji kupunguza chaos haikost mambo mengi.
Nawatakia kila la heri mzidi kuuwana. Sisi wacha tujenge nchi na kuvutia wawekezaji zaidi.
Wewe soma vizuri uelewe.
Ngoja tumuulize chawa ChoiceVariable atusaidie majibu 😁😁😁😁😁Hizo Bajaji,na bodaboda zinafanya nini hapo
Mambo yasiyokuwa na msingi msinitagNgoja tumuulize chawa ChoiceVariable atusaidie majibu 😁😁😁😁😁
😁😁😁😁😁 Sawa abduliMambo yasiyokuwa na msingi msinitag