Hizo bajaj za city centre polisi wanachukua kitu kidogo kila bajaj 5000 kwa siku. Walioruhusiwa hapo mwanzo ni vilema wenye bajaj lakini cha ajabu zimeongezeka sana.
Hapo mikocheni wanafanya dual road muda sio mrefu nadhani walikuwa wanasubiri wafanye pamoja na BRT moja kwa mojaMikocheni ila barabara mbovu sana asikwambie mtu,hasa mvua zikinyeesha aiseee.
Unataka nijibuje hoja za Mwingilu? Like Seriously?Jibu swali,kama Madini yalikuwa yanatoa pesa,hiyo mikopo awamu ya 5 ilikuwa inakopwa Kwa Ajili gani?
Weka hizo plan basi? Maana kila mwaka matatizo ni yale yale miaka mitatu yake.Hivi Huwa unaongea nini wewe nyumbu? Mbona una mihemko ya kijinga sana?
Nimekwambia unapoandika uwe na utulivu wa akili sio kuandika kama standard 7.
Hakuna plan si ndio? Una uhakika au una ropoka tuu hujui kitu? Hakuna plan ya mambo mapya kwenye nini hasa nikuoneshe plan?
Zisiingie city center!
Bajaji na boda zipigwe ban zinaharibu mazingira japo ni kweli zimeajiri vijana wengi.
Sometimes huenda akaamka hahaha. Anakera hata hivyo siwezi mblock asee maana sometimes anachopost hua nakitumia kuprove hoja za mama anavyofeli, or anavyofanya vizuri.We jamaa unanikera aisee!?
Unampigiaje mbuzi gitaa!?
Serikali ya jiji la Dar es Salaam ifanye kitu kuhusu hizi bajaji na bodaboda city centre na Mainroads.
Ndo tatizo lililobaki kufanya Dar es Salaam kuwa first world city.
Wapige ban importation ya Bajaji na bodaboda. Zilizopo zifanye biashara mitaani sio kwenye Mainroads na city centre.
Bajaji, Bodaboda zilizosajiliwa Bolt, uber zenye label na madereva wamevaa vizibao ndo waruhusuwe kuingia City Centre na Mainroads
Ziondolewe main road itabidi tuwe wakweli bara bara zetu hazina category ya matumizi, ilitakiwa barabara moja ina required speed like 90kmh, hiyo barabara isiwe na uchafu wowote, hata Zebra hamna full vivuko, kingo ziwe fenced au kuwa juu, No Bajaji, No bodaboda, Hakuna gari ambayo watu wamekaa nje inaruhusiwa kupita, ukitaka kuingia mtaa wako kuna exit road (Expressway).Bajaji na boda zipigwe ban zinaharibu mazingira japo ni kweli zimeajiri vijana wengi.
Unahusudu unplanned public transportation kuleta chaos?kwa nini zisiingie city center wakati kwingine na kila mahali zinakwenda?
Wacha upumbavu na wewe kaa uelewe mada kwanza mtanganyika wa 90s.eti nini? dar first world city??? kuna watu mko sooo out of touch, > 60% ya wakazi wa dar wanaishi chini ya dola 1/siku halafu unaongelea mambo ya first world city kwa kipato gani?
Wacha upumbavu na wewe kaa uelewe mada kwanza mtanganyika wa 90s.
Unahusudu unplanned public transportation kuleta chaos?
So, we huoni lami apo?Hivi mikocheni huwa hamna lami!?
View attachment 3040375
We unaona mji wa Dar uko sawa kweli na bajaji na bodaboda kila mahali tena mbaya zaidi hawafati sheria?eti nini? dar first world city??? kuna watu mko sooo out of touch, > 60% ya wakazi wa dar wanaishi chini ya dola 1/siku halafu unaongelea mambo ya first world city kwa kipato gani?
Sasa hii miradi umetaja huyu msenge ana claim ni ya mama just imagine.You think hatukupinga?
Acha kushikiria akili kwamba sisi wote ni machawa hatuoni mema wala mabaya, upo free kupitia comments kipindi cha Magufuli.
Unajua kwanini tulimkubali sana, tuliona nchi ina kiongozi kabisa
Inshu yoyote anadili nayo kila kona ili next time haifurukuti tena inakua sustainable.
1. Madini (Sheria, na Mirahaba, masoko, ulinzi (mererarni)
2. Umeme (Tanesco ilikua imejaa watu wa umeme, JNHP, Ufufuaji kituo cha Ubungo, usimamizi wa uhakika) now unadhani tusingekua na JNHP tungekuaje?
3. Sukari (Kumpa bhakresa ardhi kubwa bagamoyo ili awekeze (Bagamoyo Sugar), Uanzishaji wa Mkulanzi Sugar)
4. Mlundikano wa Wagonjwa hospital (Ujenzi wa Hospital nchi nzima mpaka vijijini. I hope hutajisahaulisha zahanati kila kijiji, hapa mpe credit Mama kwa kusambaza vifaa not otherwise)
5. Export ya Agricultural goods (Ununuzi wa ndege, Machinjio ya kisasa, mapambano dhidi ya middlemen)
6. Mrundikano wa jiji (Going to Dom City, kuhamishia kila kitu kule)
Na ni mengi, now niambia Mama kuna tatizo gani kaliundia long term solution?
Kodi hamna plan mpya kabisa mnawaza tozo, migomo ya wafanyabiashara kila kukicha no plan anatumbua huyu anakuja mwingine inaendelea (Wakati hamjiulizi bandari ndio inasababisha pia migomo kutokana na gharama kua kubwa kushindwa mudu kupelekea kodi kuonwa adui pia).
Yaani kila tatizo likiibukwa now tunaona vituko tu, dola inaporomoka hakuna plan, viwanda vinaanza kuongezeka nchini ila hakuna plan ya kuvilinda matamko mengi. Ajabu inshu ikiibuka tunakodiwa Steve Nyerere, Manara, Kitenge, Mwinjaku, Baba levo, Dotto magari ndio watupigie kelele
Sometimes kaa chini tafakari kwa angle zote ndio uje utupigie kelele, sio utuletee kadaraja ka TARURA kupuliza Tarumbeta while major source of Government income inagawiwa ambayo results ni kodi kuongezeka na kuongeza another years of hopelessness.
Mtu kama mwingilu ana timu ya mpira ghali hapa kama kiongozi inaleta maana gani? Unajaza watu wasio na taaluma, nidhamu kazini hamna (why usifanyie test kwenda office ya serikali kupata huduma).
Mwambie mama awe leader sio manager wa nchi tutamfollow tu sababu ni Mtanzania mwenzetu.
Tatizo watu wanalichukua hilo janga la kitaifa la bodaboda na bajaji kisiasa sana.Wacha upumbavu na wewe kaa uelewe mada kwanza mtanganyika wa 90s.
Hebu rudia kusoma ile reply vzr.kwa kweli hapo mimi nakubali ni “mpumbavu” kama dar itakuwa first world city kwa kuondoa boda boda, basi kuna kitu sielewi kuhusu maana ya first world city ni lazima nikiri …