mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kitu ichoboy amewafanya wakenya leo katika huu uzi,hawatamsahau.baada ya kariakoo kunyorosha nairobi,sasa hivi hauwezi ukasikia wakenya wakileta "nyenyenye" kuhusu kariakoo.... wapo kimya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Natangaza rasmi kuwa ichoboy ni kijana mwenye roho mbaya kupata kutokea ktk huu uzi.
Sijui kama kuna mkenya anayo nguvu ya kuendelea kubishana.