Woyool mbona mambo yanageuka hata hiyo Equity, BIDCO, si watapita nazo.π π π π π bamburi imeenda na maji
Kenya imekufa jamani
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1811060059100651995?t=QV6hKaMjk1rYzIMuPcen9g&s=19
actually its a matter of time siku METL na Bakhresa wanaruhusiwa kufungua viwanda Ukunyani BIDCO ita-collapse!Woyool mbona mambo yanageuka hata hiyo Equity, BIDCO, si watapita nazo.
Huu uzi sio wa siasa,habari za siasa peleka kwenye jukwaa la siasa,huko ukamsifie mama anavyoupiga utakavyoKwani jf mods wanafanyia kazi chuki zenu binafsi? π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Mwenzenu si anaomba ushauri wa ku ignore,mnasubiria nini kumpa na nyie mfuate?
Aisee Mwagito nafurahia sana navyowakera .Bado hamjasema Hadi mseme ππ
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1811372348466938165?t=VPJZqiGA_x-cQuROnI57WA&s=19
Ila METL magumashi Sana π π π πactually its a matter of time siku METL na Bakhresa wanaruhusiwa kufungua viwanda Ukunyani BIDCO ita-collapse!
wacha unazi sasa tangu lini mwana Utopolo akaipenda METL?Ila METL magumashi Sana π π π π
Nani kasema sio Uzi wa siasa? Kipi kinawekwa humu sio Cha siasa? π€£π€£π€£Huu uzi sio wa siasa,habari za siasa peleka kwenye jukwaa la siasa,huko ukamsifie mama anavyoupiga utakavyo
π π π π π π Muhindi WA billion 20wacha unazi sasa tangu lini mwana Utopolo akaipenda METL?
Hilo jamaa m nililiignore muda mrefu sana yaan lipo ka wamelilogezea aseee, hadi hurumaHuu uzi sio wa siasa,habari za siasa peleka kwenye jukwaa la siasa,huko ukamsifie mama anavyoupiga utakavyo
Kumuignore aisaidii,huyo apigwe pin kuingia humuHilo jamaa m nililiignore muda mrefu sana yaan lipo ka wamelilogezea aseee, hadi huruma
Kijana wangu, kama umeumiss sana mtalimbo wangu mpk unaniwaza, niambie tu nikutumie tena ticket ya ndege uje tena kuubong'oleaWacha umbumbumbu,wapi ukiambiwa kwamba hela zinakopwa Kwa Ajili ya lots ulizotaja?
My Take: Katika kitu kinanifurahisha na kunipa Raha ni kuona mnavyopata tabu na awamu ya 6 ππππ
Yule mwingine wa Umeme Yuko wapi? Alitumbuliwa au? π€ͺπ€ͺ