mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,514
- 6,918
It’s called the land of endless opportunities…we can build Kenya from any part of the globe and we do.. this means our grandchildren will call Kenya Majuu….so wewe endelea kuchill hapo Tandale and your hopeless future generations.., am sure you are living your dream ….😂😂😂😂Kwa nini umekimbia Kenya na kujifanya mmarekani kama sio ulimbukeni?😎
Wewe ni kinyago tu, hata ufanye nini. Wenzako wanajaribu kumng'oa Ruto na anaendelea kuwafyonza tu😎It’s called the land of endless opportunities…we can build Kenya from any part of the globe and we do.. this means our grandchildren will call Kenya Majuu….so wewe endelea kuchill hapo Tandale and your hopeless future generations.., am sure you are living your dream ….😂😂😂😂
Hii clip ya juzi na Msigwa anasema uwanja wa Arusha unajengwa hizo results za soil analysis umetoa wapi? au hujaiangalia hayo mahojiano?
Kwanza ni wapumbavu sijaona logic yeyote ya kung'oa Ile reli maana ingsfanya mizigo yote ya Northern Tanzania Kupitia Mombasa ila mizigo ya Uganda mingine ingeoitia MwanA au Musoma port but still mnufaika angekuwa Kenya na bandarinuetu ya Tanga isingekuwa na Tija sana.Hiv ni nani alivunja reli ya Voi hadi Arusha. Ni Tanzania au kenya?
Mnapenda kuplay victims sana wakati nyinyi ni vigeugeu na watu wa hovyo.
Hebu msikilize Kikwete hapa kuanzia dk ya sita...Nani aling'oa Reli ya voi kama sio nyinyi na coalition of willing zenu
View: https://youtu.be/46vpJFkkBzQ?si=DBaTCXFU0hVKIc5G
Mtaelewa lini biashara si emotionsKwanza ni wapumbavu sijaona logic yeyote ya kung'oa Ile reli maana ingsfanya mizigo yote ya Northern Tanzania Kupitia Mombasa ila mizigo ya Uganda mingine ingeoitia MwanA au Musoma port but still mnufaika angekuwa Kenya na bandarinuetu ya Tanga isingekuwa na Tija sana.
Sasa ni hivi ukimwaga ugali tunamwaga mboga ,na Tzn tumepiga Pini Barabara ya Mombasa-Voi-Holili kusafirisha mzigo wa Kundustan Hadi hapo tutakapojenga Barabara ya Handeni -Kondoa-Singida Ili Bandari ya Tanga itumike vizuri.
View attachment 3037128
Ona Kilio Cha Kundustan hapa 👇👇
View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1808064957981892785?t=M7QabtQjkHs8gSZx0Zv-ww&s=19
My Take: Tukirogwa na kuruhusu hii route manake Rwanda,Burundi na North Eastern DRC watumie Bandari ya Mombasa ila Dar na Tanga Port zibakie kuwa Bandari saizidi wa Mombasa,hili halitawezeiana panda Kundustan mjenge reli ya Voi na sisi tujenge reli ya Musoma Ili tugawane mzigo wa Uganda.
View attachment 3037129
Mbona mlipinga ujenzi wa barabara Serengeti?Mtaelewa lini biashara si emotions
Emotions zenu zilifanya mn'goe reli ya voi to Tanzania.Mtaelewa lini biashara si emotions
Funga mdomo monolithic agricultire si akili hata kidogo kimasoko!Hili zao la ufuta kama Serikali italipa kipaombele kabisa kinaweza kuitambulisha Tanzania Duniani.
Tu process Mafuta na kuuza mbegu ufuta wenyewe.Mazao kama haya tuna absolute advantage ndio tuweke Nguvu 👇👇View attachment 3036931
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1810380125994889421?t=G4K4SND14mS1ZZOs6GELYg&s=19
Ona hii mbwa, toka lini mlikua na pesa, au GDP yenu ya makaratasi?Kojoa ulale.
Broke Kenya can run Tanzania, Burundi, Rwanda and Uganda combined. With change for South Sudan. 😂 😂
I feel kama unaflash ubongo, if mnalipa twice mbona hao wote wanashindwa afford bei ya unga From Tz?Kenya employs twice as many police as Tanzania.
Kenya employs twice as many doctors as Tanzania.
Kenya employs 1.5 times as many teachers as Tanzania.
Kenya pays its, teachers, police, doctors, civil servants and government workers 2-3 times Tanzania.
Wewe umelipa kodi Mathare unadhani utashindana kunya na aliyechelewa kidogo kulipa yake Karen.
Piga kazi Jafo, hizi ndo wizara zinazokufaa, hizo nyingine zilikuwa zinazokubana.
You think we are like you? Njaa njaaa njaaa?Nyinyi endeleeni kukaliwa ka chapati while down under shouting you are patriotic… you shall remain pathetic for another 3 generations…🤣🤣
Unazeeka vibaya 😂😂Funga mdomo monolithic agricultire si akili hata kidogo kimasoko!
Mbona nyie punguani hamjaelewa kwamba biashara sio emotions? 😂😂Mtaelewa lini biashara si emotions
Nchi ya kimavi mavi sn Kenya.Wapumbavu wa kuandamana na eti democrazy boraa.
Katiba wamechange
BBI HANDSHAKE WAMEFANYA
Maandamano kila mwaka, mara madaktari mara Gen Z, mara Uchaguzi.
Kila mwaka, still mambo ni yale yale kila mwaka linchi lina nuka uvundo, kila mradi ni kukopa, mwaka mzima hakuna mradi hata 200m full funded na Government.
What are you talking about you Bongolala? The railway from Voi to Taveta is still intact only in disuse. Wewe unafuata mambo ya Mwanasiasa anayejaribu kutetea maamuzi yake mabovu akiwa madarakani? Huoni sahii anasema hakualikwa kwenye coalition of the willing wakati unajua alikataa mwenyewe mambo ya Visa moja? Ama Wakenya walikuja wakan'oa section ya reli iliyoko upande wa Tanzania wakawacha upande wa Kenya?🤣 🤣Hiv ni nani alivunja reli ya Voi hadi Arusha. Ni Tanzania au kenya?
Mnapenda kuplay victims sana wakati nyinyi ni vigeugeu na watu wa hovyo.
Hebu msikilize Kikwete hapa kuanzia dk ya sita...Nani aling'oa Reli ya voi kama sio nyinyi na coalition of willing zenu
View: https://youtu.be/46vpJFkkBzQ?si=DBaTCXFU0hVKIc5G
Hivi mradi wenu upi uko fully funded by the government? Mmezoea kudanganywa kama mlivyodanganywa SGR ni fully funded by the government. Miradi yote mnayojichocha nayo humu ni either loans ama misaada. Mmelala fofofo matatizo tunayoyapinga huku kwa maandamano yapo kwenu hata zaidi alafu mnajiona wajanja? Afrika nzima imeona ujasiri wetu inajaribu kuiga nyinyi mko hapo na chuki zenu eti hamuwezi andamana juu hamna njaa. Yule mzungu Yves anawaumbua kule YouTube tunaona heri kwetu kuna nafuu kuliko huko kwenu na bado mnajiaminisha eti hamuandamani kisa mnajitosheleza? Tumeona nchi Tajiri kama Marekani kwenye uchumi wa kitown kidogo huko kama Austin chenye idadi ya watu laki tisa pekee umeshinda uchumi wa Tanzania nzima lakini bado wanaenda maandamano kisa high cost of living alafu nyie mko huko ombaomba hadi mnawakera wageni nchini mwenu na mmeexport hao ombaomba nchi jirani alafu bado mnajikenua eti hamuandamani kisa mko na land of milk and honey? Wajinga nyinyi.Wapumbavu wa kuandamana na eti democrazy boraa.
Katiba wamechange
BBI HANDSHAKE WAMEFANYA
Maandamano kila mwaka, mara madaktari mara Gen Z, mara Uchaguzi.
Kila mwaka, still mambo ni yale yale kila mwaka linchi lina nuka uvundo, kila mradi ni kukopa, mwaka mzima hakuna mradi hata 200m full funded na Government.