Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stesheni si ndogo ile ni upuuzi wa Kadogosa ticketing machines zinapaswa kuwa at least 6 ndani na at least 2 kwenye platform na kuangalia jinsi ya ki-discourage watu kukata tiketi dirishani!

Mimi najiuliza hizo benchmark tours za Seoul walikuwa wanaenda kufanya nn kama hawakujifunza operations zinaenda vp?

There is no way SGR Station yenye route moja kuelekea Dodoma inaweza kuwa announced ndogo! Tembeeni duniani muone! Kuna ujinga mwingi pale kwenye management! Escalator imeharibika inaenda mwezi haijakarabatiwa!
 
Nadhani solution ni kujenga station kubwa Pugu na kuionganisha na BRT alafu hii iwe inafeed hiyo station sio lazima abiria wote kuja kushukia mjini au kupandia mjini, unganisha SGR na BRT na major bus stations, abiria wa Mbeya anayekwenda Mwanza anashuka Magufuli Terminal anachukua BRT mpaka Pugu Terminal anaunga na train yake, hili linawezekana kirahisi sana na wakifanya ndipo utaona faida ya intergrated transport system. Lakini pia idea ya abiria wa MGR kupandia kwenye new station is off, naona wanarenovate former station ya MGR ili wa MGR wapandie kule na wawekewe na platform yao, hiyo space walitenga kwa MGR itumiwe na SGR tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…