ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,877
Mara ya kwanza naona ukiiongelea Kenya vizuri. Huenda unaichukia Nigeria zaidi.Nendeni mkamshukie huyu mbwa Mnigeria. Anajelaz sana, Nigeria iz no betta zan Kenya.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1806890676547686789
Hizo sifa za bunge la Tanzania ni aibu. You lack information. Bachelors degree 21% mnaona ni kitu cha kushangilia? Wacha nikupe mfano, Kenyan Senate Bachelor's degree ni 100%, yani hamna senator asiye na bachelor's degree.Unlike bunge la Kenya sifa kubwa ni tumbo.
Usilete chuki.Ila wanafanana!
Unachosema ni Sawa kuna haja ya kuja kujenga station Kubwa eneo lingine litengwe nje kidogo ya mji ,kuongeza Station mpya kubwa .Steshen ya Dar ni ndogo sana hata ya Dodoma pia. Kwa sababu ya kujihami na criticism Magu alijenga steshen ndogo. Ila kiukweli ni kuwa, ukiangalia nyimi linalo safiri daily toka kwa Dar Bus Terminal utajua tunaitaji steshen kubwa sana itakayo ruhusu multiple trains at wakati mmoja. Hakuna mtu ataenda Moro kwa 4hrs wakati anaweza enda kwa 1:30hrs tena kwa bei ya chini. Chomi lote la mabasi litaamia kwenye treni.
View attachment 3028698
Kuna wakati walishinda Zambia walishinda humu wakicelebrate eti wamepiga 2012 AFCON champions. π€£ π€£ π€£I feel your painView attachment 3028773
Outer ring road ni 110km inner ring road sijui ni km ngapi? Exit road kuelekea Singida 50km, Arusha 50km, Iringa 50km, Dsm 70km. Hapo tuu kwa mahesabu ya haraka unapata 330km of dual carriageway. Hapo sijahesabu inner ring road na duals nyingine kwenye cities within Dodoma city πDodoma inaenda kuongeza more than 220 km of dual carriageway uelekeo wa Singida, Arusha, Iringa, Morogoro, huenda Dodoma likawa ndio jiji lenye kilometers nyingi za dual carriageway ukanda huu
View attachment 3028832View attachment 3028833
Sisi tulishinda kwenye the most competitive games world cup qualifier sio kombe la mbuzi huko COSAFA hata sisi tumeshawahi kuwa mabingwa huko mara 2 in a row.Kuna wakati walishinda Zambia walishinda humu wakicelebrate eti wamepiga 2012 AFCON champions. π€£ π€£ π€£
Leta ushahidi acha maneno ya kanga hapa.Hizo sifa za bunge la Tanzania ni aibu. You lack information. Bachelors degree 21% mnaona ni kitu cha kushangilia? Wacha nikupe mfano, Kenyan Senate Bachelor's degree ni 100%, yani hamna senator asiye na bachelor's degree.
Bachelor degree ya kenya ni diploma ya Bongo mkuu.Hizo sifa za bunge la Tanzania ni aibu. You lack information. Bachelors degree 21% mnaona ni kitu cha kushangilia? Wacha nikupe mfano, Kenyan Senate Bachelor's degree ni 100%, yani hamna senator asiye na bachelor's degree.
Tanzania ni kubwa sana mara mbili ya Kenya, km160 sio nyingi. Lami za Tanzania tukisema tuziweke Kenya basi Kenya nzima itakuwa ni lami mpaka uchochoroni.160km ni nyingi Sana π
Wajanja tumeshajua account yoko ya x.comJf wamekaza mqundu lakini twitter wamekubali mziki. Alafu trending topic ni "usenge"View attachment 3028628
Ukiifuta tayari tumesha ihifadhi π π π πJf wamekaza mqundu lakini twitter wamekubali mziki. Alafu trending topic ni "usenge"View attachment 3028628
Yaani nyie nyang'au ndio mnagundua sasa kuwa ukabila na rushwa iliyokithiri ni vitu vibaya sana kwenye jamii?πHizo sifa za bunge la Tanzania ni aibu. You lack information. Bachelors degree 21% mnaona ni kitu cha kushangilia? Wacha nikupe mfano, Kenyan Senate Bachelor's degree ni 100%, yani hamna senator asiye na bachelor's degree.
Na naona mkopo wake ni dollars million 217 tu, tukikopa dollars billion 1 tukachagua miji mitano mingine let's say Arusha, Mwanza, Morogoro, Kilimanjaro, Tanga the same project, miji yetu itakua na standard nzuri sana nimepitia andiko la TANROADS kuhusu huu ujenzi sio barabara za kawaida tulizozizoea, ni barabara za tofauti sana zimezingatia mambo mengi mno na nonmotorists friendly, green spaces, bus stops za kisasa, road furniture za tofauti na mengiOuter ring road ni 110km inner ring road sijui ni km ngapi? Exit road kuelekea Singida 50km, Arusha 50km, Iringa 50km, Dsm 70km. Hapo tuu kwa mahesabu ya haraka unapata 330km of dual carriageway. Hapo sijahesabu inner ring road na duals nyingine kwenye cities within Dodoma city π
Chawa wa Ruto analalamikia Ukabila at its best ππππππ
View: https://twitter.com/BiancaNaom1/status/1806651131201786349?t=Nbv4V3upmfQwbdbpbX20-Q&s=19
THe guy is no gayThis subtle promotion of gay shit has to stop, in our country.
Mara ya kwanza naona ukiiongelea Kenya vizuri. Huenda unaichukia Nigeria zaidi.