Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Kwann asiseme hvi kabla ya kuua watu 200+ kulikua na haja gani ya kutia serekali na nchi hasara kubwa Sana ??? Alaf nyinyi ndio wasomiWako wapi wale mangese yaliosema bill itapita, skiza kenya haina CCM 😀
View attachment 3026743
Hii ndio democratic Kunyaland?Kafie mbele
Ndio wengine Wanatoka rift valley Huko 😂😂Eldoret kwa Wakalenjin sio?
Hii ndio democratic Kunyaland?
Imejaa udikteta na uoga!
View: https://x.com/Kenyans/status/1805959011134517369?s=19