Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeparara kama nduku lako ama? Na ulikuja kufanya nini kwenye mji ulioparara na unaounuka? Ama ulikuja kujulia hali ombaomba wenu?
Huyu kapanic ☝️ ☝️ 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Kwa hiki ulichoandika sina haja ya kujibu, unatumia hisia instead of thinking.
 
MIMI NASHANGAA MNASHANGAA WAKENYA.

wakenya wapo tofauti kabisa na Watanzania, Wakenya wanajitambua tofauti na Watanzania.
Wanajitambua au ndio mficha maradhi mauti humuumbua πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Walibakia kudanganya dunia Wana maisha mazuri sijui wako level za singapore haya kiko wapi SASA πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nchi ina Hali mbaya kuliko Zimbabwe πŸ˜…πŸ˜…
 
Mbona marefu sana.
Sema kama wanatumia mafuta na diesel bado sitafurahi.
Wangeyafunga mfumo wa gesi au umeme ili mafuta yakipandapanda hovyo wasidhurike hata kidogo.
Wangetumia ya umeme Tanzania sasa ina umeme kuzidi mahitaji.
Wafunge nyaya za umeme zitumie umeme kama vile city tram alaf gas au diesel iwe backup yake itakua Safi Sana
 
Mimi nasema kuhusu Raia, sisemi waserikali wanavyosema.
Au wakenya wa JF maaana humu si mnabishana tuu.
 
Mimi nasema kuhusu Raia, sisemi waserikali wanavyosema.
Au wakenya wa JF maaana humu si mnabishana tuu.
Kwan mm nazungumza kuhusu Nani??
Hawa hawa wajinga ndio hudanganya watu Huko nairaland kua wako level za singapore na Malaysia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mm nimeishi na wakenya najua Tabia zao mpaka hulka zao
 
Mbona hata waTZ wanasema reli yetu mzuri. Lkn kuna vitu kama hivi

Hio ni SGR.
Na vivuko chini ya reli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…