Yaani unanifanya machozi yananitoka, nikikumbuka nyumbani chakula tunachezea, huku mjini tunauziwa ndizi moja 200, safari hii nikienda Xmass ninaenda kumalizia nyumba yangu, 2020 nitarudi rasmi kijijini kwangu Mwakaleli.hapo kuna picha za Mbeya na bukoba kaka.
Food for 22% but 78% wanalala njaafood security in tanzania....photos below are worth ten thousand words.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
asante kwa povu la hasira...Food for 22% but 78% wanalala njaa

pole sana kaka.Yaani unanifanya machozi yananitoka, nikikumbuka nyumbani chakula tunachezea, huku mjini tunauziwa ndizi moja 200, safari hii nikienda Xmass ninaenda kumalizia nyumba yangu, 2020 nitarudi rasmi kijijini kwangu Mwakaleli.
hahahahaha...wakenya hawana hamu na tz hii ya sasa....wamebaki kurusha ngumi za mapovu hewani ilhali wapo "dhoofu lihali".![]()
![]()
![]()
![]()

Blaza umemind.Food for 22% but 78% wanalala njaa
Siku napiga hii picha ya gari la Kenya likitokea mangola, Arusha kuchukua vitunguu nilijiuliza sana , ivi wa kenya ata kitunguu mmeshindwa kulima ni uvivu wa namna gani mko nao , Tanzania tutaendele kuwa spoon feed kenyans mpaka mpate akili ya kufanya kazi78% njaa..ata wewe haujakula
Siku napiga hii picha ya gari la Kenya likitokea mangola, Arusha kuchukua vitunguu nilijiuliza sana , ivi wa kenya ata kitunguu mmeshindwa kulima ni uvivu wa namna gani mko nao , Tanzania tutaendele kuwa spoon feed kenyans mpaka mpate akili ya kufanya kazi
View attachment 645302
