Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ipambane na Dar kwanza, ikiishinda Dar ndio basi.., la sivyo ndoto zako ni valid.., endelea kuota.., unaona hizi fikra za kujidanganya ndio unataka nipingane nazo kilaza hehehehe, jipe shughli tu...,
Kama una kende tupia hizo best residential estates za Mombasa.😂😂😂 sikuhiz umekua mnyoonge unarusha maneno hewani tu.
 
Ipambane na Dar kwanza, ikiishinda Dar ndio basi.., la sivyo ndoto zako ni valid.., endelea kuota.., unaona hizi fikra za kujidanganya ndio unataka nipingane nazo kilaza hehehehe, jipe shughli tu...,
Hakuna anayekataa. Basi leta jengo kama hili kutoka Mombassa. Hii ni Dar 🤣🤣🤣🤣👇👇👇TPA Tower

1718890657842.png
 
Endelea kumchokonoa ayakanyage nimtapishe nyongo. 😂😂😂 tena kwa upumbavu wake aliokua akipost kuhusu Mombasa 🤣🤣🤣 atataga leo huyu mbwa Don YF. Yani ukitaja residential development hapo kwao hakuna mji wa kushindana dodoma or Arusha kando ya Nairobi.
Twende battle mimi na wewe Dar slum Vs Mombasa
 
Yaani ulivyo mjinga wewe..., hiyo ni makazi, pia mimi nimeona...., asante kwa bonge la residential, mbwa wewe hehehehe
Kwahiyo umekubali katika hilo Mombasa hainachake? 🤣 🤣 🤣 🤣 Hapa ulikuwa unatupotezea muda tu?
Siku nyingine uwe unachagua vita. Usiwe unakurupuka tu.
Ukionesha jengo linalokaribiana na hili hapo Mombassa niite Mbwa

1718891308787.png
 
Back
Top Bottom