Hivi hujakua ukifuatilia mjadala?
Kila mjadala kwenu huwa mnageuza unakuwa wa bus stages na Kibera. Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297, wewe unaingiza bus stage. Bongolala ni bongolala tu. Yani unatoka bus stage modern alafu unakanyaga vumbi for 300km na unaona hayo ni maendeleo?
Hii statement yako ya mwisho ndio nataka kuona. Iko wapi hio barabara? Au hukumaanisha ulichoandika?Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297
So are you denying this road is not in Tanzania?…🤣🤣🤣🤣🤣🤣JF kwa sasa hatujadiliani otiose Information. Tumeshavuka huko kijana. Cheap propaganda ni za watoto wa primary schools. Leta meticulous information we can have a discussion za kisomi. 🤣 🤣 🤣 🤣
Wewe nawe unakuwa kituko siku hizi. Yaani Tz ijenge airport kwasababu ya Kenya? Umeona Terminal 2 yetu ilivyokuwa? Ilitakiwa iwe upgraded 1999. SGR, Stiglers Dam zote zilitakiwa kujengwa 20 yrs ago ila viongozi wetu kila anaeingia anakuja na priorities zake and thats our achilles heelInfact it’s the opposite… mabati Rolling mills terminal was their response to our Greenfield…. Bongo is the king of knee jerk reaction against Kenya… always!…🤣🤣
Huwa tunamuita mpumbavu wa ukoo wa sadima.Wewe nawe unakuwa kituko siku hizi. Yaani Tz ijenge airport kwasababu ya Kenya? Umeona Terminal 2 yetu ilivyokuwa? Ilitakiwa iwe upgraded 1999. SGR, Stiglers Dam zote zilitakiwa kujengwa 20 yrs ago ila viongozi wetu kila anaeingia anakuja na priorities zake and thats our achilles heel
Mnaumia sana 🤣🤣🤣Infact it’s the opposite… mabati Rolling mills terminal was their response to our Greenfield…. Bongo is the king of knee jerk reaction against Kenya… always!…🤣🤣
Kumbe hamjajua hawa mbuzi. Tz ni hovyo, wageni washanena tena sana! hehehehe..,Mbezi yenyewe hii. High Class neighborhood in Bongoland. Ukiwaskia wakisema uchafu juu ya vikaratari kando ya barabara utadhani kwao ni Kigali. 🤣 🤣
View attachment 3020694View attachment 3020695
View attachment 3020696
View: https://www.youtube.com/watch?v=z89QsV5s334
Acha uongo wewe JNIA terminal 3 was completed in 2016 construction started earlier than that during kikwete reign. Greenfield contract was signed 2016 as a knee jerk reaction to terminal 3.Greenfield was planned way before you thought of building your Mabati Rolling Mills.
Soma repoti ya waziri wewe liboya.., pingana na kauli ya serikali yenu, reason why they are building idiot! wanatumia kutafuta pesa za kigeni, wewe kafie mbali na huu ujinga wako, ukweli utakuuma hadi basi, Dar haina value, majengo mengi mnafugia popo na buibui, wateja hamna! heheheheheSo, ulivyo mpumbavu Tanzania ijenge jengo kwa ajili ya kupata pesa? Hivi mnaakili nyie? Elimu yenu mbona mbovu hivi? Yani nchi ijenge jengo moja kwa ajili ya kupata pesa? Wakenya mbona akili zenu mbovu hivii?
2024 report still insists multidimensional poverty in Tanzanian villages is above.., number three in Africa after Nigeria and DRC.., wako na kelele but zero kwa ground..,Umenotice tangu avuke border akaingia bongoslum vile anapita watu wengi kwa barabara wakiwa wamebeba kuni. 🤣🤣🤣 Poverty on steroids.
Mombasa beats Dar in residential estates heheheMbezi hii hapa. Unasema kilimani hakuna barabara. Mbezi 95% barabara ni vumbi. Kilimani hamna barabara hata moja ya vumbi. Kama ipo post tuone.
Hii sentence ndiyo analytical fact?So are you denying this road is not in Tanzania?…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi zinaitwa Simplification Propaganda Unakuwa na simple answers with no evidences katika kitu kigumu.Mombasa beats Dar in residential estates hehehe
Nilijua kwa uendazimu wako, with clueless mind lazima ujibu.., brain iko na kichaa.., unaumwa Tanzania hakuna jiji kama Mombasa kando ya Dar.., residential Mombasa beats Dar, kalilie kwa choo mimi sio mwenzako kilaza..,Hizi zinaitwa Simplification Propaganda Unakuwa na simple answers with no evidences katika kitu kigumu.
Sentence yako inatumiwa na watu walioishiwa point na wapo kwaajili ya kujifariji ili waendelee kuhema. Najua wewe siyo mjinga kiasi hicho unaweza kuongea zaidi ya hapo. 🤣🤣🤣🤣Can you try to maximize your potential?
Barabara tunayoongelea ni Kigoma - Mpanda. 297km of vumbi kama unavyoona kwa Ile video ya Yves KinoHii statement yako ya mwisho ndio nataka kuona. Iko wapi hio barabara? Au hukumaanisha ulichoandika?
To mention Mombasa beats Dar everyone can do that, even kichaa can say that. But here in JF we discuss with empirical evidences. We need a person with brain to write justifiable description rather than cheap and childish explanation.Nilijua kwa uendazimu wako, with clueless mind lazima ujibu.., brain iko na kichaa.., unaumwa Tanzania hakuna jiji kama Mombasa kando ya Dar.., residential Mombasa beats Dar, kalilie kwa choo mimi sio mwenzako kilaza..,
Hapa tupo kwenye battle hebu tuambie; Barabara ya kigoma-Mpanda 297km inaweza ikafanana na barabara gani hapo kenya?Barabara tunayoongelea ni Kigoma - Mpanda. 297km of vumbi kama unavyoona kwa Ile video ya Yves Kino
Kauli ya mwenzako.., this is what wants to argue with me...,To mention Mombasa beats Dar everyone can do that, even kichaa can say that. But here in JF we discuss with empirical evidences. We need a person with brain to write justifiable description rather than cheap and childish explanation.
If I were you, I would bring an explanation in detail, I would give examples that can be measured and can be measured by all the scholars in the world.
But now, unfortunately, you, my friend, are using your brain below the standard.
Karibu tujadiliane kisomi
Kwahiyo sasa umeshindwa kuleta maelezo ya kina kuhusu namna Mombasa inaizidi Dar. 🤣 🤣 🤣 🤣 Umeona uanze ku divert topic. Je tunawezakukubaliana sasa kuwa unaandika tu pasipo kutumia akili yako sawa sawa? 🤣🤣🤣Kauli ya mwenzako.., this is what wants to argue with me...,
View attachment 3021485