Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

East Africa hakuna mtaa unaweza fikia Kilimani ukitoa mitaa ya Nairobi. Yani kwa mitaa ya Kifahari East Africa Nairobi inachukua number 1 - 10. Na hapo 11 ni Kigali ndio itaingia.
🤣🤣🤣🤣Umekuja tena na brags. Huna exposure kijana. Tafuta watu wa kuwadanganya.
 
Hawana tofauti na Teargas ha ha ha😎
Just imagine kijana huyo ananguvu kabisa anaweza kufanya kazi za kilimo vizuri. Anazunguka kushikilia camera na kujipiga picha huku anatembea 🤣 🤣 🤣 🤣 Anazunguka huku na huko ili aweze kupata views nyingi kwenye youtube. Hivi huko kenya katika orodha ya kazi Vlog nayo kazi? NairobiWalker
 
1718812560921.png
 
Wanapenda kupiga Ile Barack Obama Drove na Kenyatta Drive wanajaza mafilter alafu wanafananisha na vichorochoro vya Nairobi wanajiliwaza.😂😂
Wewe kima heb post hizo best places za huko upumbavuni tuone kama zinawezana na ocean drive, unaandika ushwa tu, nimekuvumilia nimechoka.. nipo hapa nasubiri,nipo na wewe sako kwa bako leo 😂😂
 
😂😂😂😂 Anaongea kwa chuki Tu, niliwah kupost video ya street za mwanza nikawaambia Mombasa au Kisumu ikikaribia such modern streets nafunga ACC walikimbia wote mpaka Leo hawataki hio Mada
Hata hapa nimepost video moja tu ya Sinza ambayo Barabara zake zina horizontal infrastructure nzr sana kuliko Nairobi CBD lakini Wameikacha wamekimbilia mitaa ya mbezi chini na kwa zena huko karibu na kawe

Nimeamua niachane nao
 
Back
Top Bottom