Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
Visited my former school. St Lukes Kimilili Bungoma
Kaagizwa asiende.Kundurenda hajaenda
Umemvua kich.u.pi chake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Achana na hako ka 2metre Uptown. Vuka Tom Mboya street na moi avenue nenda Downtown, river roads kule mpaka gikomba ni aibu Tupu.
Njoo huku Kilimani majengo mazuri ila barabara sasa, sewage kama zote hapo sijaongelea upper hill na westlands zenye miwaya ya stima na no sidewalk kila mahali.
Hapo hatuendi kwenye slums
Eastleigh ndo sehemu chafu zaidi East Africa. Hata nguruwe anapaogopa
Sehemu safi tu Nairobi ni Uptown pele yake tena kule karibu na bunge, KICC na agha khan walk ukienda kule Railway station ni aibu tupu
Tayari huko mkunya mwenzenu keshakuja kutalii na bado joka na mabehewa ya ghorofa hayajaanza kazi
View: https://youtu.be/886LVKcMQn4?si=hiK7FC2DgxOFKihI
Tayari huko mkunya mwenzenu keshakuja kutalii na bado joka na mabehewa ya ghorofa hayajaanza kazi
View: https://youtu.be/886LVKcMQn4?si=hiK7FC2DgxOFKihI
Kiukweli Hili jambo linaniuma na kunikera sana , yaani Kodi zetu zinajengwa Kundustan? 😏😏😏😏👇👇
View: https://twitter.com/JMakamba/status/1802981940594655583?t=SF0hM-AfDXzrGkxtm2rtUA&s=19
teargas imekula ban huku kumbe iko mitaani inatumika sahii 😂😂😂
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1803022608545267842?s=19
View: https://twitter.com/gidikariuki/status/1803007701099680238?s=19
Hawa watu ni wachafu haki ya nani. Nimeona kupitia hiyo video. Maji ndio usafi nambari one. Toilet papers is just addition. Lakini alikuwa kama analalamika vileJamaa ananawa halafu tena analishika bomba la kutawazia.
Sasa unataka watu walalamike kama mnavyofanya nyie. 😀 😀 Just imagine since independence nchi yenu inaongozwa makabila mawili tu. Is Kenya Monarch State? Mbona hamuandamani kuhusu hilo? All land owned by Kenyatta family mbona hamfanyi chochote? Tukisema education system yenu ni mbovu tutakosea?Tukiwaambia nyinyi ni kondoo hamsikii. Ona serikali yenu inavyofanya maamuzi ya kijinga na mmekaa tu. Anyway, naweza elewa since hapo Dar the few skyscrapers mmejenga bado hazina wateja. Labda serikali inatafuta mahali kuna biashara.
Yaani mnachekesha sana wakenya. Your trying to brag wakati watu wote duniani wanaijua Nairobi in and out. Tukiita huu ni upumbavu tutakuwa tumekosea?Unaona pavement zilivyo modern.
Huyu atakuwa alikuja mapema ili afanye shooting. Escalators huwashwa karibia na muda wa train ili ku save umeme.Ila mbona escallator haifanyi kazi?
Hawa nyangau IQ zao ndogo sana unakuja kufanya shooting ya electric train in Tz na umeonba kibali cha shooting lakini hata jina la kampuni hawezi kulitaja kwa ufasaha eti anadhani TRC ni Tanzania Railways Commissioning 🤣🤣🤣🤣Jamaa ananawa halafu tena analishika bomba la kutawazia.
Anapoteza maji kwa makusudi! Sijui alitaka kuoga ?😂😂Jamaa ananawa halafu tena analishika bomba la kutawazia.
Ili kuwapumbaza ikikaribia uchaguzi wanaibua chama kipya cha siasa yaani kifungashio kipya lakini product ni ile ile. 😂😂😂Sasa unataka watu walalamike kama mnavyofanya nyie. 😀 😀 Just imagine since independence nchi yenu inaongozwa makabila mawili tu. Is Kenya Monarch State? Mbona hamuandamani kuhusu hilo? All land owned by Kenyatta family mbona hamfanyi chochote? Tukisema education system yenu ni mbovu tutakosea?
Nionyeshe Estate moja tu hapo Dar yenye barabara nzuri kuliko Kilimani.Achana na hako ka 2metre Uptown. Vuka Tom Mboya street na moi avenue nenda Downtown, river roads kule mpaka gikomba ni aibu Tupu.
Njoo huku Kilimani majengo mazuri ila barabara sasa, sewage kama zote hapo sijaongelea upper hill na westlands zenye miwaya ya stima na no sidewalk kila mahali.
Hapo hatuendi kwenye slums
Eastleigh ndo sehemu chafu zaidi East Africa. Hata nguruwe anapaogopa
Sehemu safi tu Nairobi ni Uptown pele yake tena kule karibu na bunge, KICC na agha khan walk ukienda kule Railway station ni aibu tupu
Nionyeshe Estate moja tu hapo Dar yenye barabara nzuri kuliko Kilimani.
View: https://www.youtube.com/watch?v=pO3IIcC6xAE
Pavement gani uchafu mtupu 😂😂😂😂Unaona pavement zilivyo modern.
🤣 🤣 🤣 🤣 Ona huyu.Washaanza kuiba, hiyo nyumba imejengwa na mtz, huoni style yake? Japo imekaa kijuakali kwa sababu ya mmiliki kutokuwa na pesa ya kutosha ya finishing.