NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Kenyan architecture
Achana na hako ka 2metre Uptown. Vuka Tom Mboya street na moi avenue nenda Downtown, river roads kule mpaka gikomba ni aibu Tupu.Habari za kwamba NBO ni chafu hakuna tena JF 😍🔥🔥View attachment 3020198View attachment 3020199View attachment 3020201View attachment 3020202
Halafu angalau ni dini tofauti yaani wakristo na waislamu. Lakini kwa hawa nyang'au itachukua miaka mingi kupata rais mwislamu😎😎List of Tanzaian Presidents and their Tribes
Mtuambie nyie wakenya ni nchi gani inayofuata demokrasia? 🤣 🤣 🤣
- Julius Kambarage Nyerere - Zanaki
- Ali Hassan Mwinyi - Zaramo
- Benjamin William Mkapa - Ndendeule
- Jakaya Mrisho Kikwete - Kwere
- John Pombe Joseph Magufuli - Sukuma
- Samia Suluhu Hassan - Shiraz
Wanasema hizo sehemu ni chafu. Eti Aga Khan walk na parliament area ndio safi pekee Nairobi.😂😂
Sasa wewe mzee wa ubishi na uongo, hili eneo ni safi.? According to you.? 👇Wanasema hizo sehemu ni chafu. Eti Aga Khan walk na parliament area ndio safi pekee Nairobi.😂😂
Mimi I'm yet to find a clean street in dar slum seriously😃Wanasema hizo sehemu ni chafu. Eti Aga Khan walk na parliament area ndio safi pekee Nairobi.😂😂
Kama hapa ni pasafi basi wana safari ndefu sana hawa Mbwa 😂Sasa wewe mzee wa ubishi na uongo, hili eneo ni safi.? According to you.? 👇View attachment 3020347🤣🤣🤣hili eneo linakaa kigoma kabisa.
How can you clean a mud road? Even their high end estates have no tarmac.😂Mimi I'm yet to find a clean street in dar slum seriously😃
Mjadala wa Bajeti ukiendelea Kundustan 🤣🤣🤣😆👇👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C8XfWEVOnnA/?igsh=MTFraDZ2ZmFtbmxlZw==
Weme comment wangapi? Je, unajuaje kuwa hao ni wabongo?Interestingly, kwa comments wabongo wanasupport. Huku JF ndio mnajifanya kuhate.😂😂
Unavyokaza fuvu mtu hawezidhania kuna barabara za tope masaki😃Sasa wewe mzee wa ubishi na uongo, hili eneo ni safi.? According to you.? 👇View attachment 3020347🤣🤣🤣hili eneo linakaa kigoma kabisa.
Hakuna barabara za tope masaki, wala hakuna barabara mbaya kama huo upuuzi uliopost wewe.Unavyokaza fuvu mtu hawezidhania kuna barabara za tope masaki😃
Kwa jirani kunawaka moto😎Kundurenda hajaenda
Nikikumbuka mlivyokuwa mnatupigia kelele na hii mizunguko yenu huwa nacheka sn 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Washaanza kuiba, hiyo nyumba imejengwa na mtz, huoni style yake? Japo imekaa kijuakali kwa sababu ya mmiliki kutokuwa na pesa ya kutosha ya finishing.