Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Raskazone, Nguvumali, Sahare, Bombo area, Donge, Mzingani along Tanga beach road and some parts of Usagara CAC, hii ndio mitaa yetu ya kishua Tanga imepangwa vyema na majumba yamejengwa sana huko. I recommend you utembelee Tanga beach resort bhana, kama utakua na muda wa kutosha.
Maeneo ya Tanga beach nilienda last time nilivokuja bro tanga imejengeka mzee 🙌🙌🙌🙌
 
Wewe kima nimekua nikisafiri kwenda kondoa (dodoma) kwenda kununua mbuzi like every week nilete pugu mnadani, nauli ya basi ni 35k na safari ni masaa tisa, nije nishindwe kupanda treni yenye nauli ni 35k kwa safari ya masaa matatu.? 🤣🤣🤣 gharama ya nauli kila mbuzi mmoja nikiwapandisha kwenye truck ni around 5k t sh kila mbuzi mmoja, imagine ni kiasi gani nitatumia kwenye naulibtu kusafiri mimi na mbuzi wangu.? Gharama za nauli za kawaida hizi hapa 👇Google Image Result for https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/12/FjiUEjwWIAEAbVv.jpeg.

Ulipiga kelele humu ooh tutaanza operation ikifika 2030, si wewe.? Sasahiv tena unakuja tena ooh kasehem kadogo, 🤣🤣🤣 sasa treni ni yetu, sisi ndio operators, haraka za nini.? Lazima tupate vitu perfect zenye nyie kunguni mnaishia kuona kwenye TV tu. 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C8RHNyvtmwb/?igsh=andtN2wyYndmMWlh. Umia polepole.

Mkuu umeongea kitu kuhusu mbuzi hapo unaweza ukani PM!??
 
Back
Top Bottom