ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Inaniuma kivipi wakat madeni mumeyabeba kichwani πππππ na bado dunia mumeibeba pia inawapeleka mbioRoho inakuuma kisawaswa πππ
Uchumia ambayo kwenye kila ksh 10 basi ksh 6 inaenda kulipa madeni na hio 4 iliobakia ndio mishahara, maendeleo, bado mafisadi hawajaiba humohumo etc