Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I feel your pain young man. Usijali lakini ndo maisha.
 
Hivi kwenye Berlin conference Urusi walichukua maeneo gani vile, au hiyo historia umeisahau?
 
Halafu wanasahau serikali ya TZ imefungua maghala ya nafaka South Sudan na Congo hivyo biashara ya Kenya kununua mahindi Tz na kwenda kupiga cha juu Sudan imekufa hence mauzo madogo kwenda kenya msimu huu 🤣🤣🤣
Na kuna hawa DP world. Watatulalia but pia tutafaidika na ushawishi wa kibiashara kwa landlocked countries. Wataalam wa kiuchumi tusaidieni kuelewa hili la DP world.

Meanwhile:

View: https://www.youtube.com/watch?v=O-RZfeNbQ94
 
Kwani nyie kipande cha malaba kimewachukua muda gani kama sio 11 years now na bado hakijulikani kitaisha lini.
Nikisema nyie ni wapumbavu, wajinga, maboya, mikwara, akili za vijiweni, zote combined mnalia lia,😂😂😂😂, kipande cha Malaba kimeanza kweli?.. ata uzinduzi wa kazi bado, mkandarasi bado! Mombasa Nairobi 400km approximately 2 years., yenu 200km 6 plus years.., mara kazi inasimama eti hakuna hela, mkandarasi hajalipwa, ama na pia yeye anatafuta hela, wafanyikazi hawalipwi kwa wakati, boss🤣🤣🤣🤣, matatizo yenu ni yenu pekee yenu., hatufanani.,
 
Ndiyo sura ya Tanzania normal living standards, hiyo kwao siyo slum, ndio maisha ya kawaida sana.., average standard ya raiya.
Tandale sio average standard of living hapa Dar mkuu, tandale, vingunguti, manzese n.k yote ni maeneo popular yenye uswazi na tunayachukulia kuwa ni maeneo wanapoishi maskini wa hali ya chini zaidi hapa Dar..
 
Tandale sio average standard of living hapa Dar mkuu, tandale, vingunguti, manzese n.k yote ni maeneo popular yenye uswazi na tunayachukulia kuwa ni maeneo wanapoishi maskini wa hali ya chini zaidi hapa Dar..
Ndiyo sura ya Tanzania mkuu., tusisumbuane asubuhi🤣🤣🤣🤣🤣.,
 
Ili tuone mmefanikiwa inabidi mpite pale ilipoishia Tanzania, mfike fainali la sivyo mnakuwa bado hamna mlichokifanya.
Ni nyie nilitaka, mengine sijali, lazima tuwalambe tunapokutana, bibi zetu nyie kwa sports
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…