Sio wakulima tu, hadi madalali. Mazao waliokua wanasmuggle wapate faida hamna tenaHututaki upumbavu, mwaka huu tunaanza ku tax wakulima. Tunataka mambo yanyooke. Nyie kachukueni tu huko Ukraine, haina shida!
Wasiponunua, viwanda vingi vitahamia TZ kutokana na bei ndogo na reliabilityHajui transmission line ya Singida Arusha is ongoing iko 55% soon wataanza vikao vya kununua umeme. Tena jinsi umeme wetu ulivyo cheap udenda unawatoka sana na mkae mkujua gesi hatuleti huko tunawauzia finished products tuu.
Analipa fadhila ya mitumba ya jeshi na kadhalika 😁Huyu raisi wao ni tahira sana, 🤣🤣 kenya ni vi puppet wa wazungu.. skia upumbavu aliouongea kuhusu Russia huko kwenye kikao cha amani 👇
View: https://youtu.be/QcmyLvgazfs?si=yYFE7GZK-0xBZ9od.
200km 6years plus, sasa 700km je?.., hehehe , utazeeka., ulikua mtoto mdogo sasa wewe ni lizee., by the time mnakamilisha 700km utakua nini?.., 😂😂😂., ufukara wenu haunisumbui wala kunikosesha usingizi,.., vumilia mlipo, mtafika siku moja., eti miradi mikubwa kukamilisha balaa ., heheheUnafurahisha 🤣🤣 by the way next month tunazindua treni ya Dar-Makutopora, around 700+ km..
Nikija kwenye suala la bajeti, hizo number kubwa kwenye bajeti yenu zimewasaidia kufanya nini so far.? How many bigger projects going on in Kenya currently...? 🤣🤣🤣 nasubiri majibu.
Tulishafuzu, hapa ilikua tu confirmation, naomba tuwekwe kundi moja na Vumbistan tuwadinye kule Dominican Republic.., ni Malaya zetu ikija michezo.,The calm before harambee starlets U17 quality for world cup...
View attachment 3018640View attachment 3018641
Wewe una matatizo si bure, nimekwambia mwezi ujao tutafungua safari ya dar-makutopora 700+km journey.. na nauli zimeshapangwa 🤣🤣🤣 wewe unaongelea mimi kuwa mzee.? 👇200km 6years plus, sasa 700km je?.., hehehe , utazeeka., ulikua mtoto mdogo sasa wewe ni lizee., by the time mnakamilisha 700km utakua nini?.., 😂😂😂., ufukara wenu haunisumbui wala kunikosesha usingizi,.., vumilia mlipo, mtafika siku moja., eti miradi mikubwa kukamilisha balaa ., hehehe
Kwahiyo ulikuwa huoni tunavyopost maendeleo ya SGR Tz? Kwamba hujui tulikuwa tunajenga phase zote kwa wakati mmoja? Btw, co nyinyi mlikuwa mkitaka tuwaoneshe 1cm ya SGR Tz? Now mmebadili wimbo, dozi zinaendelea mpaka mtii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣200km 6years plus, sasa 700km je?.., hehehe , utazeeka., ulikua mtoto mdogo sasa wewe ni lizee., by the time mnakamilisha 700km utakua nini?.., 😂😂😂., ufukara wenu haunisumbui wala kunikosesha usingizi,.., vumilia mlipo, mtafika siku moja., eti miradi mikubwa kukamilisha balaa ., hehehe
Nyinyi mnataka kufanya biashara zinazowanufaisha nyinyi tu. Nyinyi ni wabinafsi balaa.Vumbistan is a hostile state, mlileta wenyewe policy kwamba Kenyan traders wasinunue mahindi directly kwa wakulima mpaka watumie local company, matokeo yake ni Maize imports from Tanzania decline sharply.
Kijamaa eti kinajifanya hakiijui kinachoendele 🤣🤣🤣 kanajitoa ufahamu.Kwahiyo ulikuwa huoni tunavyopost maendeleo ya SGR Tz? Kwamba hujui tulikuwa tunajenga phase zote kwa wakati mmoja? Btw, co nyinyi mlikuwa mkitaka tuwaoneshe 1cm ya SGR Tz? Now mmebadili wimbo, dozi zinaendelea mpaka mtii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wacha kupotosha nawe lot 4 iko U/CWewe una matatizo si bure, nimekwambia mwezi ujao tutafungua safari ya dar-makutopora 700+km journey.. na nauli zimeshapangwa 🤣🤣🤣 wewe unaongelea mimi kuwa mzee.? 👇View attachment 3018799🤣🤣 au umeanza kuchanganyikiwa .?The distance from dar to Makutopora is around 700+ km soma hii article and do the maths 👇View attachment 3018810
Ni nini kitabadilika?Nyie watu mna wivu mbaya sana. Kwahio Tz imejenga bwawa ili nyinyi mnunue? Unafikiri matumizi yetu yatabaki yale yale?
Soko la ndani na soko la congo limeongeza mauzo,then hao kunyan walikua wanajinunulia mahindi yetu kama yapo kwao shwainBut overall mauzo ya Maize yameongezeka mwaka huu maradufu without your market.
Yule fala aliekula ban alisworn kuhusu sgr yetu,alipoanza kuona zile trial akawa kama chizi anapinga kila kitu,ile kuanza route za uhakika dar-moro kichaa cha wivu kikampanda zaidi akala ban saa hizi yuko zake mathare mental institute ameanza upya dose zake za methadone baada ya kuzikacha kwa muda mrefu,bado kale kadada komora Rhaenyra Targaryen siku yake na chenyewe kichaa cha wivu kitampanda na roho yake chafuNime save comment yako, alafu wewe kima usitafute sababu ya ku left jf, mbona mlisha sign mkataba wa kuuziwa umeme na Tz? Hujui hilo au unajifanya mwehu?
Akisworn ndo nn?Yule fala aliekula ban alisworn kuhusu sgr yetu,alipoanza kuona zile trial akawa kama chizi anapinga kila kitu,ile kuanza route za uhakika dar-moro kichaa cha wivu kikampanda zaidi akala ban saa hizi yuko zake mathare mental institute ameanza upya dose zake za methadone baada ya kuzikacha kwa muda mrefu,bado kale kadada komora Rhaenyra Targaryen siku yake na chenyewe kichaa cha wivu kitampanda na roho yake chafu
Mnapenda kulialiaNyinyi mnataka kufanya biashara zinazowanufaisha nyinyi tu. Nyinyi ni wabinafsi balaa.
Kwa nini local company za Tanzania zisiwauzie hapo mipakani? Mtanzania anaweza enda kirinyaga au thika akanunua nanasi alete Tanzania apark kwa label made in Tanzania na auze anakotaka nyinyi mumuangalie tu mlivyo na roho Mbaya?
Si hadi watauawa huko kenya?
Msiponunua nyie kuna DRC, Zambia, South Sudan na Sudam watanunua!Mnapenda kulialia