Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So you want us to discuss the language of white people? What language do Kenyans speak? Is it a Kenyan or Kikuyu language?
This whole paragraph is grammatically incorrect, you are illiterate in both English and kiswahili. Yet you want us to discuss complex SGR stuff.😃😂
 
Washaamza kisema ati wanataka evidence ya kuonyesha ati hiyo ni mikono yangu😂😂😂.

Wamezoea mikono chafu ngumu wanadhani mimi ni kama wao😂😂😂
Watanzania wana maisha magumu hawajui soft life ni nini. 😂😂😂
 
....🤣🤣🤣🤣
IMG_20240614_112459.jpg
 
Wewe watchman tafuta watu wa kucheza nao. Wakati mwenzako anakula lunch ya Ksh110 mimi nakula za Ksh4050. Ama hii pia nimetengeneza?😂😂😂

View attachment 3016383
Umekula lunch ya kshs 4000 umekuwa tembo, 😂 wewe sema tu ukweli, wafanyakazi wenzio walikutuma hapo ukawanunulie lunch. Wewe si ndo watchman wa ofisi. Ulitaka nani aende?

Halafu unakuja hapa kujifanya unakula lunch, wakati budget ya nyumbani kwako mwezi mzima ni 1000, unapika sukuma ya mwezi mzima unaweka uvunguni 😂😂😂😂👍🎉🎇🇹🇿
 
Hizi ndio tundege mingi zile huland JNIA. Ndege ndogo za less than 10 passengers. 🤣 🤣 🤣

ScreenShot Tool -20240614153333.png
 
Hizi ndio tundege mingi zile huland JNIA. Ndege ndogo za less than 10 passengers. 🤣 🤣 🤣

View attachment 3017271
Tanzania is a tourist country. Kwa ulivyo mshamba unadhani Tanzania ina Attractions chache kwa za hapo kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 Mtu anataka azunguke more than 20 Tourist Attractions with 2 days unategemea atatumia Air Tanzania?

Nimeamini Mama Ngina amekula ubongo wa wakenya wote
 
“Reli yetu ya kisasa SGR itakuwa reli ya tano duniani kwa urefu baada tu ya China; km 40,493, Hispania; km 3,917, Japani; km 3,146, Ufaransa; km 2,735 na Tanzania; km 2,080, ikifuatiwa na Ujerumani; km 1,631, Uturuki; km 1,232 na Finland; km 1,120. Na itakuwa reli ndefu kuliko reli zote duniani kwa nchi zinazoendelea.” – Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha.

View attachment 3017037
Sisi kiuhalisia sio Waafrica ndio maana, mambo yote ya msingi tuko mbele.
 
Back
Top Bottom