Hivo ndio mlidanganywa? 😂“Reli yetu ya kisasa SGR itakuwa reli ya tano duniani kwa urefu baada tu ya China; km 40,493, Hispania; km 3,917, Japani; km 3,146, Ufaransa; km 2,735 na Tanzania; km 2,080, ikifuatiwa na Ujerumani; km 1,631, Uturuki; km 1,232 na Finland; km 1,120. Na itakuwa reli ndefu kuliko reli zote duniani kwa nchi zinazoendelea.” – Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha.
View attachment 3017037
Lete ukweli wako wa kinyang'au😎Hivo ndio mlidanganywa? 😂
Timu kubwa kama Simba, Yanga, Tp mazembe, hawawezi kushiriki mana ratiba zinawabana, Yanga na simba ndio zilikuwa za kwanza kuto ku confirm lkn timu zingine zisizo na ratiba ngumu kama Gor Mahia na Al merreikh n.k zilisha confirmHehehe watabaki wakiicheza pekee yao😂
Tuoneshe kilomita moja ya reli hapo Tz(Maneno ya Wakenya humu). Yaani hawa ndugu zetu wa Ke sijui nini kilikuwa kinawakera na hii SGR.
Roho mbaya tu sio kitu kingine, wakenya wana roho mbaya sana, wao kwa wao hawapendani, itakuwa jirani?Tuoneshe kilomita moja ya reli hapo Tz(Maneno ya Wakenya humu). Yaani hawa ndugu zetu wa Ke sijui nini kilikuwa kinawakera na hii SGR.
That article is only talking about roads. Is roads the only infrastructure?Kilichoongezeka ni nini hapo mbona mnapenda sifa za kijinga?
Infrastructure projects budget cut by Sh45.3bn
The government has cut the budget for infrastructure projects by 15.7 percent.www.businessdailyafrica.com
Hadi Uganda imewshinda na budget? Kweli Tanzania ni nchi maskini. I'm sure out of $18B 41% of it will b financed using grants.Ukiacha Tanzania wengine wote Bajeti zao ni za kulipa Madeni 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1801498588112998560?t=QKtBVVzouYx7YBKwDs05TA&s=19
Tanzania huwa tunaongea facts. Tunaongea kwa evidences. Wewe unaongea maneno matupu. TuleteeHivo ndio mlidanganywa? 😂
Kinafanyiwa matengenezo. Also siyo kimoja tu vipo vivuko vingine.Tunaomba ya haribike sana, mombasa tule pesa.View attachment 3017050
2/3 ya Uganda Budget ni mikopo mipya,interests repayment na debt financing.😂😂👇👇Hadi Uganda imewshinda na budget? Kweli Tanzania ni nchi maskini. I'm sure out of $18B 41% of it will b financed using grants.
Nimekuambia kabla nyinyi kulikuwa na Ethiopia, jiulize mbona leo SGR yao hailinganishwi na ya Kenya.Kinafanyiwa matengenezo. Also siyo kimoja tu vipo vivuko vingine.
Je, ulisoma nauli zetu na ratiba ya kwenda Morogoro?
View attachment 3017061
At least we have shown you how SGR is supposed to be. ELECTRIC.Kabla nyinyi kulikuwa na Ethiopia, jiulize waliishia wapi. Huu ndio muda mmebakia nao kabla vilio vianze.
Watchman nenda ukacharge torch. Unapiga kelele hapa na bado hujaosha hata sare zako za kazi.Timu kubwa kama Simba, Yanga, Tp mazembe, hawawezi kushiriki mana ratiba zinawabana, Yanga na simba ndio zilikuwa za kwanza kuto ku confirm lkn timu zingine zisizo na ratiba ngumu kama Gor Mahia na Al merreikh n.k zilisha confirm
You can come to Tz and do 'Electric Train Tourism' 🤣🤣🤣🤣Nimekuambia kabla nyinyi kulikuwa na Ethiopia, jiulize mbona leo SGR yao hailinganishwi na ya Kenya.
Tuwe na bandari kubwa EAC alafu utake kushindana na sisi kwenye uchukuzi.
Muna akili nyinyi kweli!?
Imeandikwa wapi SGR should be electric supported?At least we have shown you how SGR is supposed to be. ELECTRIC.